THE AUTO BIOGRAPHY CONTINUES!!!!!!!!!!!
In 2012 ikatokea nimevutiwa mnoo na mdada moja humu MMU, kwa waliokuwepo mtamkumbuka alikuwa very popular, fahari ya MMU, kwa maelezo yake she was young energetic and beautiful. Alikuwa na story flani hiviza kuhamasisha. Nikajitosa ku m PM na hii ID yangu ya kazi. Basi hamuwezi kuamini aliniuliza DO YOU HAVE A CAR? Really! Niliumia sanaa maana hata baskeli sikuwa nayo, na uwezo wa kukodi hata hio gari nilikuwa sina. Nikasema anyway ngoja niwe honest SINA GARI! Hakuwahi kunijibu tenaaa. Nilimtumia PM 23 NA ZOTE HAZIKUJIBIWA. Ndani ya hizo PM nilijitahidi kumueleza mambo mengi ikiwemo kukubali kukodi gari ikibidi lakini none of the 23 PMs was good enough to get a reply. Iliniuma sanaa binadamu kudhamini gari kuliko utu, she became THE NUMBER 1 ON MY LIST!
Basi nikaendela tu na maisha ya kubangaiza mjini hapa, huku mademu wa MMU wakizidi kujikwezaa, mwanaume pesa sijui nini nini. Nikasema iko siku yenu wote nyie. 39 days for the thief and just 1 day for the house owner. Kama Mungu tu kuniprove wrong ikatokea mdada akandika mada encouraging hio ilikuwa 2013 mwanzoni kuhusu wanaume, na true love, ilinipa moyo kusemaza kweli, nikaona huyu ndo atanifaa mimi na kengele zangu! Hahahaaa! Manake kashasema haitaji pesa bali true love. Na michango yake mingi yupo mrengo wa kulia. Nikaanza kum PM with bigs hopes. Kweli tukapeana namba, Namb yake ni (kapuni) naikumbuka mpaka kesho kutwa, nikajawa bashasha na minyege ya kutoshaaa! :lol:. Tulivoanza kuchat siku hio hio akaniomba vocha. Nikampa 2000, akasema 2000 tu? I rang the alarm. Kesho yake ooh najua ni mapema ili nimekwama nisaidie 50,000! Mmmmmh! Nikampa. Siku tatu nyingi simu yake imekufa! Nikmblock ila namba sikufuta. Nikajua huyu silent killer mwenzangu jamvini anajifanya mwema ili kupata i danga aichune. Ni mbayaa kuliko hata team NO FREE P! Ile namba sikufuta baada ya miezi kama 2 nika i unblock nikakuta kaweka profile photo ya harusi yake na mumewe. Kumbe mke wa mtu. Nilitinuk mnoo. Nikamuweka number 3 kwenye list. Unaweza ona nimeruka lakini number 2 ulikuwa ni wewe Lara 1.
Mungu si Athumani wala Juma, 2013 nikaajiriwa kwenye asasi ya kiserikali inayolipa vizuri mnooo katika kitengo kizuri mnooo. Nilianza na mshahara mkubwa tu, na safari na nini kiukweli kutoka kimaisha kulikuwa nje nje! Sikufanya pupaaaa nikaendlea na kazi kujiweka misingi mizuri kazini, i took my time to plan carefully for my expedition! Nikajijenga kwanza, niknunua gari Altezaa wala sio la bei, nikapanga nyumba nzima nilitaka niwe nachinjia mule mule ndani tu, lodge ya kazi gani, ghara nyingi manake namna hio kila gameunamaliza 100,000 manake guest cheap 45,000, mkila na kunywa 65 inaisha, ukimpa na nauli laki na nusu bai bai wakati home unapika kabisa unatumia 10,000 tu ya vinywaji. Utekelezaji ungenigharimu sanaa. Nikaenda kwa Janguo enzi hio ana duka la suti, na kwa fundi mmoja mwenge nikachongesha suti 10 za maana na kwa Janguo nikachukua 5. Nikapita kwa Makoba chukua jeans kali na tshirt zangu. Mwanaume kiatu, mwanamke yeyote wa mjini anamjua mwanaume kwa kiatu chake. Nikaagiza nje, Jordans zangu 2 tu za ukweli, Puma moja, Travolta 2, sandals za Clarks, mashati ya ukweli ya ofisini mark n Spencer, Na tshirt za Pollo, Ralph lauren kidogo, unyunyu ule wenyewe vote nilivizia SALE! Nikawa nimwkwivaaaaaaa!
Nikaanza na my number 1 list wa DO YOU HAVE A CAR? Nikam pm na ID mpyaaa. By this time ilikuwa late 2013 ashachujaaa. Ule moto wa 2012 umepoa. Hana soko tenaaa. I thought sh might have changed lakini ikawa vile vile DO YOU HAVE A CAR? Manina zake! Anapenda magari kama nini. Nikamwambia ndio. Weeee! Hapo hata nisipomuanza ana ni pm yeye. Kashoboka tuonane tuonane. Nikasema swala karibu kwenye himaya ya simba. Nikmpa ki date steers siku ya kazi. Siku hio nimeingia ofisini nimepiga suti na travolta, mshkaji akaniambia we, mngese leo unaenda kumbato mtu, kuvunja kabati hivi si bure, hili shati si mark n Spencer hili la kuvaa harusini tena ukisimamia we mshenzi unajia ofisini? Nikamwambia tulia dogo, leo naenda kumla mtoto mkali anapenda magari kinomaaaa! Basi tukaachana.
Sijisifii, nilimpa ki date steers, nikachelewa kusudi tu, nikamwambia agiza chochote nimekuja pale unyunyu unapulizaaa tunikmpigia nikamuona nikamfata! Akadataaa alivonionaaa! Sitaki kukosoa uumbaji wa Mungu lakini she was not quite what i expected her to be. Ila yeye kwangu alikolea mpaka kapanic! Hajaamini. Tulivotoka pale NIKAMPOTEZEA! Mungu ashamuadhibu not worth my anger! Yani alinipia mwaka mzimaaa, pm hazina idadi, sms ndo usiseme nikm black list na kumblock lakini dada yule alidataaaaa! Aliongea yote! Akisomer hii Autobiogrphy atapa majibu WHY i neve called her back!:lol:
Tukaendela na Lara 1, nahisi utakumbuka 2013 kuna ID (kapuni) ili ku pm kuhusu kuonana na kuchat na nini!
ITAENDELEA SHORTLY POST YA MBELE!