Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hapo kwenye red usifikiri jamaa kashamaliza mission yake LOL..
Mimi nishawapata kadhaa.. nitajiridhisha kadri story itakavyoendelea..
Hint: Exclude hao wote waliotajwa, Exclude member wote ambao join date ni 2014, 2015..
Then anza kudeal na 2011 na 2012 hapo ndio utawakuta wengi ambao ni maarufu humu.. Sasa katika hao wengi, watoe hao waliotajwa kwenye uzi. Ndio utawapata wachache ambao sasa ukisoma michango yao humu, utaweza kuwahisi.. That is the first step..
Hahahaaa,nimecheka sana aisee...
Ila hayo maelezo yako tuko pamoja,namie mawazo yangu yako hivyo hivyo!
Sasa tuanze kazi kimyakimya,tusubiri muendelezo tujue zaidi.