Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Huyo mmoja najua wewe utakuja na jina lake..
Ulishamtangazia kule juu kuwa wewe ni mpya humu haha
Mmmmh! Hapa umeniacha kidogo ila usijali tutaongea baadae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mmoja najua wewe utakuja na jina lake..
Ulishamtangazia kule juu kuwa wewe ni mpya humu haha
Atamaliza jumatatu mkuu wewe changia kwa mafungu mafungu mpaka amalizesasa Lara 1 mbona umekatisha utamu unaanza wewe unasima, mimi nitachangia ukimliza yote
ANOTHER HINT: Tafuteni threads za wadada waliolalamika anything similar to the stories za huyu jamaa. It's very funny yani...coz after every episode a lady would come asking in a new thread, "Nifanyeje awe anajibu msg zangu!" (huo ni mfano tu).
Dah!
Hahaha babu stori ni 100% true ila kuna chumvi na kuna kubadilisha maeneo, matukio ili kuepusha kufahamika na wengi...
Hey Hey geniveros, there are gentlemen here...let no this one nigga tarnish all the men in here!
Mmmmh! Hapa umeniacha kidogo ila usijali tutaongea baadae.
Duh! Huu uzi nitausoma post ya kwanza hadi mwisho then niseme yangu
Here we go...
alalfu kama mlokole unamwambia ombea akiwa amefunga macho unamwambia imekatika yenyewe kumbe umekata
Ahahahahahahahahaha....
lara 1 ....am sure u know why am laughing! Hahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
Ah!
[Yaani wewe Tyta, Asprin, nifah na Steph Curry mkimjua huyu mtu ni nani nitawapa chochote kilichopo ndani ya uwezo wangu ila nawaapia hamtamjua kabisaaaaa labda mmoja wa hao wadada ajikute anaropoka. Na mpaka sasa hakuna hata mmoja wao aliye-comment kitu (hint)....cha maana muangalie kwenye ile list ya who is reading this thread]