The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

We nawe si umalizie haka kaumbea?? Dume zima nimekaa hapa nakodoa mimacho hapa wakati wadau wananisubiri Hisaje nikaziadhibu Guinness za baridi.

Wa Hisaje mmo humu? What a small world!
 
Sijaiona hio PM mi ndo naingoja nijue kama natiririka au naresign hili jukumu la writer maana SILENT KILLER kila saa anapiga simu kwanini autobiography imesimama? Nakosa jibu. PLEASE RESEND QUICKLY. NAKUPA MPAKA 8:30 AU SAA 2 NA NUSU KIBONGO Hiyo PM iwe imenifikia. Bila hio FILE LA MLOKOLE LINADONDOKA LA MOTOOOOOOOO!

And why most of you you believe mnamjua BINTI MLOKOLE? Mnanishangaza mjue? Ooooh usimuandike FLANI! HOW ARE YOU SURE NI YEYE? These are just ALLEGATIONS, she is INNOCENT TILL PROVEN GUILTY! Wewe kumhisi mtu unaweza kutenda dhambi bureeee, ukute sie, so far THE SILENT KILLER IS A GHOST! Jamani msichume dhambi.

8:30 Naendeleza. POST NAZIKUSANYA ZINARUDI JUU PALE KUTOKANA NA MAOMBI YA WENGI. SO MUENDELEZO UTAKUWA JUU PALE!

proceed madam
 
Tatizo mmeanza fujo za kutaja taja watu! Mnahisi hisiiiii. Mnanitisha mjue. Nitakuwa simalizii namna hio.

TULIENI NISHUSHE BOMU LA MLOKOLE! IMEBIDI NIZIMUE ST ANNA KWANZA MTUMISHI WA MUNGU HUYU ANATUNHULIWA OOOOOOH! Acheni papara mfaidi mambo.

Kudadadeki, kubwa la maadui kapewa usukani, sio honi hizo! Teremsha stori mama!
 
Wewe itakuhusu mama.Mimi sio sana maana ni in and out.

Akuuuu ngoja nijipe moyo hata mie hainihusu, yule hana huu ubavu, ujanja wake woteee anaishia kuota tu, teh teh teh
 
Mzee mwenzangu, leo lara moko lara 1 kafanikiwa kuniketisha chini kufuatilia umbea. Ukinusanusa hujamjua huyu chalii??

Mi nshamjua, si unajua mababu huwa tunapewa umbea na wajukuu??

Babu cha umbea niambie ni nani huyu..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom