Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aseee!!
Mi lewo na lesson plan siandai!
mwenzangu ni demu wangu ninayelala naye kitanda kimoja..embu acha hizo porojo bn..nimekuja kufwata story hapa..na nimevutiwa zaidi baada ya kuona na ww upo kwenye list..kwa jinsi unavyopenda pesa lazima mieleka ilikuhusu..usimulie vizuriHahahahaaaaaaaa! LEO UNAWAKANA WENZIO MARA 3 KAMA PETRO AYA JOGOO KESHAWIKA! Hahahahaaa! WHEN WILL YOU PEOPLE START PUTTING HONOR IN YOUR WORDS! HAHAHAAAAAAAAAA! Huna genge! :lol::lol::lol:.
Anyway dont act as if nothing happened WE AINT COOL FOR THE RECORD!:juggle::juggle::juggle:
Aseee!!
Mi lewo na lesson plan siandai!
Petition ya KUMSITIRI BINTI MLOKOLE PM! DENIED! Hamna hoja za msingiii, ooh she is influential, MNAJUAJE NDO HUYOOO MNAE MUHISI? THE SILENT KILLER KASEMA NISIPOWEKA FILE LA MLOKOLE MAANA NDO ANATEGEMEA KUCHUKULIA POINNT ZA USHINDI NA HESHIMA KWA MABAZAZI YOTE HANIMALIZII UJIRA WANGU! Hahahaaaa!
BINT MLOKOLE FILE LOADING IN 0 SECONDS! UKIMTAJA MWENZIO MIE SIMOOOOO!
Mimi hapa....😛
Mimi hapa....😛
ok sawa..ngoja niandae wine na mziki nyororo wa kunisindikiza wakati naisubiriUsijali itafika tu maana jf party si bado so kuwa na subra
hahahaaaaa
ticha mpk kieleweke leo!
Labda uniahidi rushwa ya ngono. Vinginevyo namwaga mboga na ugali.
Ila huyu dogo mbaaaya sana huyu!!
Duh!