The MMU Free P Silent Killer, Collector of Experience With MMU Women! The Autobiography!

hata sikuelewi. naona unajichanganya tu. umeunga hoja yangu mkono kuwa tabia haina elimu wala taaluma halafu mwishoni unasema unapenda waalimu kwa sababu wachache ndo wanatumia papuchi kama mtaji......sijui nini. Hata taaluma zingine hali iko hivi hivi ukiacha labda ile taaluma ya kusevu kwenye mabaa kunakuwa na changamoto na vishawshi na unyanyasaji mwingi. Hayo mambo mengine yanayoambatana na taaluma naweza kukuelewa kwa mfano ulivyosema mazingira yao yana utulivu hawako busy ukilinganisha sijui na taaluma ipi labda. Kama ni mwalimu wa chekechea anafundisha watoto 20, watoto wanatoka saa 6 na yeye anatoka saa 8, kweli huyo hawezi kuwa busy. Lakini mwalimu wa chuo mwenye wanafunzi 300-1000, ukute na ni mkuu sijui wa idara...huyu ataondoka asubuhi na kurudi usiku tena atarudi na furushi la makaratasi na laptop kuja kufanyia kazi nyumbani. Kwa hiyo tafakari kwa mapana kaka.

ha ha ha haa, teh teh teh...nimecheka mkuu. Kumbe ni ualimu kwa level na majukumu kwa ukubwa wa kazi alizonazo! Bado iko vema tu, maana yangu ni kuwa kwa mazngra ya kazi ya mwalimu...yamemlinda kuishi katka uadilifu, utulivu na uchapa kazi. Hivyo hapati sana muda wa kuuza sura na kujichanganya na waliochanganyika. Bado mwalimu ni mke salama kwa ustawi wa familia, heshima ya mume na maendeleo yao kwa ujumla. YUKO MAKINI ALIPOSIMAMIA.
 
Duuuuh ngoja nikasomee angalau hata kasetifiketi ka ualimu
 
lara 1 ya huyo mdada ishapitishwa.....ilete!

BTT: Ila humu watu ni washenzyyyy haijalishi hii story ni ya kutunga au true.
Nikikumbuka ile story ya kina Mentor na verossa lao, likaja saga la kina dalaber, mara wengine wakashitakiana madildo bila kusahau kipindi kile yule mkaka alojifanya KE akala pesa za watu kumbe ni lidume hahahahaaaa patamu humu aiseee and panatisha at the same time!

Na wewe mama mtu mzima humu unayetembeaga na dogodogo ipo siku watakuchojoa tu hadharani heheheeee yetu macho sie!

Teh teh teh hivi KOKUTONA kapita hapa jameni?
Njoo upite huku mwaya barabara imewekwa lami!
 
Last edited by a moderator:

Na wewe mama mtu mzima humu unayetembeaga na dogodogo ipo siku watakuchojoa tu hadhani heheheeee yetu macho sie!

Teh teh teh hivi KOKUTONA kapita hapa jameni?
Njoo upite huku mwaya barabara imewekwa lami!

Mwacheni mama wa watu vijana wafaidi
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha haa, teh teh teh...nimecheka mkuu. Kumbe ni ualimu kwa level na majukumu kwa ukubwa wa kazi alizonazo! Bado iko vema tu, maana yangu ni kuwa kwa mazngra ya kazi ya mwalimu...yamemlinda kuishi katka uadilifu, utulivu na uchapa kazi. Hivyo hapati sana muda wa kuuza sura na kujichanganya na waliochanganyika. Bado mwalimu ni mke salama kwa ustawi wa familia, heshima ya mume na maendeleo yao kwa ujumla. YUKO MAKINI ALIPOSIMAMIA.

Now i get it, nina huyu rafiki yangu(wa kiume) ana gf wake wana uhusiano about 3years now(sio mwl) ila yeye huwa anasema lazima atakuja kuoa mwl, ukimuuliza mbona unaye yule wa ........ anadai wale wasumbufu mnoo kutokana na nature ya kazi yao.
 
lara 1 ya huyo mdada ishapitishwa.....ilete!

BTT: Ila humu watu ni washenzyyyy haijalishi hii story ni ya kutunga au true.
Nikikumbuka ile story ya kina Mentor na verossa lao, likaja saga la kina dalaber, mara wengine wakashitakiana madildo bila kusahau kipindi kile yule mkaka alojifanya KE akala pesa za watu kumbe ni lidume hahahahaaaa patamu humu aiseee and panatisha at the same time!

Na wewe mama mtu mzima humu unayetembeaga na dogodogo ipo siku watakuchojoa tu hadharani heheheeee yetu macho sie!

Teh teh teh hivi KOKUTONA kapita hapa jameni?
Njoo upite huku mwaya barabara imewekwa lami!

Yaani hata mm pananitisha na kunifurahisha pia
 
Last edited by a moderator:
Now i get it, nina huyu rafiki yangu(wa kiume) ana gf wake wana uhusiano about 3years now(sio mwl) ila yeye huwa anasema lazima atakuja kuoa mwl, ukimuuliza mbona unaye yule wa ........ anadai wale wasumbufu mnoo kutokana na nature ya kazi yao.

kaz gani hiyo??? Hebu itaje, coz hatumtaji mtu moja kwa moja. Taja iyo kazi nikwambie kitu.(nikufafanulie yaliyomo).
 
Sema suuuuuuuu nikinukisheeeee!!! Teh!

Sasa ndio mambo gani haya Avemaria bwana! Mimi nawe wa kufanyiana hivi kwakweli? Mie hata kama ananidanganya nimejiridhiaaaaa maana nicjetoka roho kwa kuyajua, teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom