Huo utamu kwa hao walioliwa na wao si wameupata,mtu ambae anataja dau kabisa ujue na yeye amejiwekea hapo yupo temporary, maybe uraiani ana wake,hili ni funzo wengi humu ni matapeli wa mapenzi, na wengi wanaojifanya watakatifu ni wana prpretend tu.kwa uzi huu maybe wengi watajifunza. Nashukuru sijawahi kukutana live na mtu humu. Na kwa haya maelezo ndio kabisa nimejifunza, inaonyesha mtu akishaonja kwa mtu, watu wanaambizana kwenye pm.wanaume hafai, kama umepata au umepatikana jifunze na sio kuishia kujisifia huo ni utoto