umejuaje? ushajua alama zangu eeh
Nikisema huyu kijana ni mwongo utaniamini my daughter?
anatakiwa alione tu!!
Nakuamini mamaangu coz nakujua vizuri...
Basi ni muongo....naanzaje labda
Sawa mamaangu nimekuelewa nimefurahi pia...
nilisahau sweetEeh usiwe unataja mama na mtoto kwa pamoja
Wala hujasoma vibayaNimesoma vibaya naota? My mom Khantwe nakuomba hapa..n