ni wazi uhusiano wako na wachaga sio mzuri.
maybe if u changed.
miss u sana!! mzima kijana wetu?
Thank u bro.
miss chagga ni hela, hela na yeye!!
msalimie sana Dena Amsi...
shemeji measkroni kapotelea wapi?
Chocs ni mimi aise
Mr Rocky ule wimbo nakuimbia kila siku nipe hela hunipi sababu elfu kumi na laki moja.. na wimbo wako wa sina hela mfyuuuu.... babu nishajisepea mda huku nakula raha tu naburudika
oh!! kumbe asakuta ndiyo home boy mwenyewe? karibia sana
dah! kuna kipindi jf walivamiwa na huckers wakachomoka nacho.
karibu hapa leganga pub...
Yaani wacha tuu kiongozi ni balaa
Anapenda heleri kupita maelezo huyo miss chagga
Chocs ni mimi aise
Nipo bana mambo mengi yako mengi tuu Dena Amsi mzima kabisa
AsanteHongera sana
Asante, hii ni keyboard tu usijenge chukiwe mtambo kweli...
anyway!! forget abt that...
sijakuweka Northern Zone kimakosa!!