The Most CORRUPT and GREED Persons in Tanzania

The Most CORRUPT and GREED Persons in Tanzania

Through proliferation of information and besides general current affairs, right now we are aware and know a lot about loved people, influential people, hated people, mafisadis, and many others in our country.

We read a lot about people with close ties to government officials or indeed, themselves being government officials. Watu ambao wako kwenye wimbi la maskendo mengi yahusianayo na ufisadi hapa Tanzania na kuwa pingamizi kubwa ya maendeleo kwa wengi.

Well, on this thread let me just say enough reading has been done so far, and it's about time we made reference to our reading and understanding. Let's name one person - only one person whom from what you read and understand, you deem most corrupt and most greed in Tanzania and her history. Please Name ONE, NO EXPLANATION NECESSARY - JUST ONE NAME. Thank you!!


I'll kick start:

- Rostam Aziz (Hon.)

Prince Riz1 Kikwete
 
Mkapa alichafuliwa na magazeti na mwenzake ili mwenzake aonekane bora. Baada ya JK kuondoka mtafahamu ufisadi wake vizuri
 
Kuna mtanzania asiye fisadi?
Watanzania wote ni mafisadi.
 
Tuna maswali mengi na majibu hakuna.

Kinachotakiwa sasa ni kujiweka kwenye UFAMAHU na kujua thamani ya maamuzi yasiyo na tamaa.

TAMAA NI ASILI YA UOVU WOTE
 
thanks for bringing this up

vipi list bado ileile au tunaongeza na wale vijana wa mwanza waliokwenda kulamba miguu mtoto wa kaizari ili wapate milioni mia?
 
slaa

Chama
Gongo la. Mboto DSM
 
Last edited by a moderator:

Prince Riz1 Kikwete

The most corrupt and greedy are the Tanzanians themselves! You vote for these guys during elections and put them in power and yet you have the nerve of accusing them for being corrupt or never stop complaining in the post election period.
 
I ma real sorry SteveD I could not stop myself from naming only one.
1. J K Kikwete
2. Edward Lowassa
3. Rostam Aziz
4. Nazir Karamagi
5. Msabaha
6. Andrew Chenge


Haki ya Mungu na mimi ni hao hao ambao nilikuwa nawafikiria but not in the same order ila list ni hiyo hiyo na pia nina wengine zaidi kama hawa mjambazi wafuatao: Basil Mramba, Fredrick Sumaye, Daniel Yona, Ali Hassan Mwinyi, Edward Lowassa, Prof. Juma Kapu la Mjanja (Kapuya).
 
Watu wanaowakata albino mikono such . Ukimkata mtu mikono yote miwili,how can that person go to the toilet? Nadhani labda kuna misunderstanding,labda hawa Satanists wameshindwa kuielewa dini yao wenyewe ya Kishetani,na wanakuwa waovu kuliko shetani.
 
Tupieni basi na hayo makitu yanaitwa ushahidi (documents) kama watu wanayo ili tutililike mpaka vidole viume!

Ni ufisadi kwa mtu kushindwa kulinda rasilimali za taifa na kuzitumia kwa faida yake ili hali shule ambazo ndio msingi wa maendeleo hazina madawati, walimu hawana nyumba, mazingira ya kufanyia kazi sio rafiki. Na hii ndio imewafanya waalimu wengi kukata tamaa na kulipelekea Taifa kupata matokeo mabaya ya mitihani.

Aliye masikini leo ndio anazidi kua masikini siku hadi siku na kumfanya kukata tamaa ya maisha na mwisho wa siku anahamua kujiua! Taifa limekua la watoto mayatima wasio ijua kesho yao. Taifa limekua la watoto omba omba waliojazana mitaani na kuhatarisha maisha yao na vyombo vya moto..Nenda Lebanon pale kivukoni kajionee mwenyewe wale watoto maisha wanayoishi, ni hatari!

Ni jukumu lenu ninyi watunga sheria kupitisha sheria kali zitakazo wabana Mafisadi/wala rushwa wote wafunguliwe pia kesi za mauaji na wasipewe dhamana.

Mafisadi wala rushwa hawakubaliki. Kwa pamoja tuzilinde rasilimali za Taifa, uzalendo kwanza!
 
Kuna mtanzania asiye fisadi?
Watanzania wote ni mafisadi.
Ushapata sufuri wewe!Umeambiwa utaje jina moja wewe unasema watanznia wote ni mafisadi!
Basi kwa sababu wewe umesema Wa-TZ wote na wewe ukiwemo, basi nikutaje wewe!

NAKA-PANYA
 
Back
Top Bottom