The most educated tribe


Bombiii nyumbii hiii Therengetitherengeti wane.
 
Abdulhalim you are so https://jamii.app/JFUserGuide'n educated but you got issues kweli vile. whats your problem money honestly kuanzia leo im on ya case

Ati?

Ni kweli sheikh Juma, nahitaji mafweza nikakunue kisiwa huko Carribean au Pacific. Thats all i need mazee, au ikishindikana sana hata ile faranga japo ya kununulia boti na yatch nifanye makazi hapa Dar..😀
 

ha hahaaaa... as if we dont know them na jinsi wasivyojenga kwao!!! anyway ni ukabila tu uleule
 
tatizo ni kichwa cha habari... kiko biased
 
tatizo ni kichwa cha habari... kiko biased

Kipo fair mzee,

Re: most educated tribe!!!! ...

Maelezo kwenye thread nzima yapo wazi kabisa!,si zungumzii "nationallly wala internationally" nadhani fikra za wwengi hapa ni kujaribu kutetea ukabila kwa kila mtu atokako thinking kwamba nimemaanisha most educted amongst all tribes, that I would have gone long and so wrong!...

Tikuwoni, yeooo muyemba , habari za kunyumba muyembaa. "Nshikii gari ni pandi Nyengo" ndi pali jogoo linapo wika Kokoliko!.....Zikomo kwa mbili!.
 
bombimbili?usengwile bambu!usengwile sana yani mwenzko tangu lichu nde ngandongi!nde nga ubwabwa
 
Culture in culture. Asante mkuu. Tuletee mganda wa wazaramo mkuu na Mdundiko.


[ame]http://www.youtube.com/watch?v=T0lsyoWjGco[/ame]

KULA vibwagizo nje ya Ukabila hapa:

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=qurWMR-vosI&NR=1[/ame]
 
Kwa kunywa pombe pia wanaongoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…