TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
there are a thousand reasons huyo jamaa kuwa na watu nyomi, kanga, kofia, buku mbili, umaskini wetu na ushamba kiasi kwamba tunashangaa magari, mapenzi, mbiu nk...
pia natubaliana nawe kwa analysis yako kwamba ni most influencial, kumbuka hata ananayenishindisha njaa, au jambazi aweza kuwa most influencial kwani atanifundisha wizi, kuua nk... there are bad influences and good incluences... so he could the most influencial but in a bad way... matumaini kwa watanzania yamefifia
Well said mkuu na kwakuongezea sababu ni hizi hapa:-
a. Njaa za waliopo hapo.
b. Ulafi wakiwa na tamaa wakimshangilia mzee atawafikiria.
c. Kujipendekeza tu ili mtu apate sifa.
d. Safari za ulaya.
e. Udini.
f. ...........
Acha Bh....ngi!!!.....umma uko wapi hapo!Doh!!Very unrealistic!!Umma wote huo umejipendekeza?????
WTF.. he is the President, ulitegemea kitu gani kitokee..
haya na hii utasema nini?
![]()
Acha Bh....ngi!!!.....umma uko wapi hapo!
Katika watanzania walioenda shule ukiwambia Jk ni influential, chini ya nusu watakubali. Matatizo yote watanzania waliyonayo yanatokana na uongozi tulionao. .... JK atwambie alishughulikiaje MERAMETA. Ili tujue kuwa yuko siriasi na
Tandaleone, hujui kama Kikwete ni rais? Na hujui kwamba mabalozi wa nyumba kumi wanapita nyumba hadi nyumba kuwaambia wananchi kwamba Kikwete atakuja waende kumlaki? Ulitegemea nini zaidi ya hayo unayoyaona? Kumbuka Slaa hana balozi wala hana mjumbe wa shina wala wa nyumba kumi wa kuwahamasisha wananchi kuhudhuria mikutano yake, wanakwenda wenyewe. Sasa who is the most influencial? Kumbuka pia kwamba CCM mnakodi magari ya kubeba mashabiki wa kuhudhuria mikutano, yakiwemo mapikipiki na bajaji. Lakini CHADEMA hawafanyi hayo na bado idadi ya watu inaikaribia au kuishinda ile ya wanaohudhuria kwa Kikwete.
Lakini zaidi ya yote, kama upo makini, ziangalie tena hizo picha, utagundua kwamba karibu nusu ya waliohudhuria kwenye mkutano wa JK wana Tshirt za rangi nyekundu (za CHADEMA; hawajapewa, wamenunua wenyewe kwa mapenzi yao kwa CHADEMA). Hiyo inaonyesha kwamba zaidi ya nusu ya wahudhuriaji kwenye mkutano wa JK ni wale wanaokuja kumuenjoy lakini roho zao zote zipo CHADEMA. Angalia mkutano wa Dr Slaa katika picha aliyoweka Mkandara uone kuna Tshirt za kijani ngapi!
Iangalie vizuri hii picha hapo chini halafu useme kama hao wote waliohudhuria hapo wana mapenzi kwa JK.
![]()
Kwanza hebu nikumbushe, hivi hapa ndo wakati ule JK ameanguka eeeh? Pole mkuu!
Lakini mwaka huu ni wa Slaa mtake mstake. Mkiiba kura tutawapiga mawe.