Elections 2010 The Most Influential Tanzanian Alive?

TandaleOne

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Posts
1,644
Reaction score
709
Angalia picha hii akiwa njiani kuelekea Mvomero wiki iliyopita,Chuo Kikuu cha Mzumbe na Uzinduzi wa kampeni viwanja vya Jangwani.Mbali na urais,bado ni mmoja ya watanzania wanaoheshimika na kupendwa zaidi.(most popular Tanzanian).Naomba tuweke sababu tunazodhani zinasababisha hili:
On his way to Mvomero.jpgMzumbe Varsity Students Meets JK in Morogoro.jpg
Jangwani.jpg
pencil.png
 
there are a thousand reasons huyo jamaa kuwa na watu nyomi, kanga, kofia, buku mbili, umaskini wetu na ushamba kiasi kwamba tunashangaa magari, mapenzi, mbiu nk...

pia natubaliana nawe kwa analysis yako kwamba ni most influencial, kumbuka hata ananayenishindisha njaa, au jambazi aweza kuwa most influencial kwani atanifundisha wizi, kuua nk... there are bad influences and good incluences... so he could the most influencial but in a bad way... matumaini kwa watanzania yamefifia
 
Well said mkuu na kwakuongezea sababu ni hizi hapa:-
a. Njaa za waliopo hapo.
b. Ulafi wakiwa na tamaa wakimshangilia mzee atawafikiria.
c. Kujipendekeza tu ili mtu apate sifa.
d. Safari za ulaya.
e. Udini.
f. ...........
 
Doh!!Very unrealistic!!Umma wote huo umejipendekeza?????
 
WTF.. he is the President, ulitegemea kitu gani kitokee..
haya na hii utasema nini?
2ughzj9.jpg
 
Tandaleone, hujui kama Kikwete ni rais? Na hujui kwamba mabalozi wa nyumba kumi wanapita nyumba hadi nyumba kuwaambia wananchi kwamba Kikwete atakuja waende kumlaki? Ulitegemea nini zaidi ya hayo unayoyaona? Kumbuka Slaa hana balozi wala hana mjumbe wa shina wala wa nyumba kumi wa kuwahamasisha wananchi kuhudhuria mikutano yake, wanakwenda wenyewe. Sasa who is the most influencial? Kumbuka pia kwamba CCM mnakodi magari ya kubeba mashabiki wa kuhudhuria mikutano, yakiwemo mapikipiki na bajaji. Lakini CHADEMA hawafanyi hayo na bado idadi ya watu inaikaribia au kuishinda ile ya wanaohudhuria kwa Kikwete.

Lakini zaidi ya yote, kama upo makini, ziangalie tena hizo picha, utagundua kwamba karibu nusu ya waliohudhuria kwenye mkutano wa JK wana Tshirt za rangi nyekundu (za CHADEMA; hawajapewa, wamenunua wenyewe kwa mapenzi yao kwa CHADEMA). Hiyo inaonyesha kwamba zaidi ya nusu ya wahudhuriaji kwenye mkutano wa JK ni wale wanaokuja kumuenjoy lakini roho zao zote zipo CHADEMA. Angalia mkutano wa Dr Slaa katika picha aliyoweka Mkandara uone kuna Tshirt za kijani ngapi!

Iangalie vizuri hii picha hapo chini halafu useme kama hao wote waliohudhuria hapo wana mapenzi kwa JK.
attachment.php

Kwanza hebu nikumbushe, hivi hapa ndo wakati ule JK ameanguka eeeh? Pole mkuu!
Lakini mwaka huu ni wa Slaa mtake mstake. Mkiiba kura tutawapiga mawe.
 
Jamaa ni mgonjwa wapambe wanambuluza kwenye hizo kampeni; angalieni macho yake kwenye hiyo picha aliyovaa kanzu!!
 
Katika watanzania walioenda shule ukiwambia Jk ni influential, chini ya nusu watakubali. Matatizo yote watanzania waliyonayo yanatokana na uongozi tulionao. .... JK atwambie alishughulikiaje MERAMETA. Ili tujue kuwa yuko siriasi na
 
Shule ipi mawani???Influential unajua maana yake?
 
Tandaleone, hujui kama Kikwete ni rais? Na hujui kwamba mabalozi wa nyumba kumi wanapita nyumba hadi nyumba kuwaambia wananchi kwamba Kikwete atakuja waende kumlaki? Ulitegemea nini zaidi ya hayo unayoyaona? Kumbuka Slaa hana balozi wala hana mjumbe wa shina wala wa nyumba kumi wa kuwahamasisha wananchi kuhudhuria mikutano yake, wanakwenda wenyewe. Sasa who is the most influencial? Kumbuka pia kwamba CCM mnakodi magari ya kubeba mashabiki wa kuhudhuria mikutano, yakiwemo mapikipiki na bajaji. Lakini CHADEMA hawafanyi hayo na bado idadi ya watu inaikaribia au kuishinda ile ya wanaohudhuria kwa Kikwete.

Lakini zaidi ya yote, kama upo makini, ziangalie tena hizo picha, utagundua kwamba karibu nusu ya waliohudhuria kwenye mkutano wa JK wana Tshirt za rangi nyekundu (za CHADEMA; hawajapewa, wamenunua wenyewe kwa mapenzi yao kwa CHADEMA). Hiyo inaonyesha kwamba zaidi ya nusu ya wahudhuriaji kwenye mkutano wa JK ni wale wanaokuja kumuenjoy lakini roho zao zote zipo CHADEMA. Angalia mkutano wa Dr Slaa katika picha aliyoweka Mkandara uone kuna Tshirt za kijani ngapi!

Iangalie vizuri hii picha hapo chini halafu useme kama hao wote waliohudhuria hapo wana mapenzi kwa JK.
attachment.php

Kwanza hebu nikumbushe, hivi hapa ndo wakati ule JK ameanguka eeeh? Pole mkuu!
Lakini mwaka huu ni wa Slaa mtake mstake. Mkiiba kura tutawapiga mawe.

Luko!Unajieleza wewe ni nani.Safi
 
there are a thousand reasons huyo jamaa kuwa na watu nyomi, kanga, kofia, buku mbili, umaskini wetu na ushamba kiasi kwamba tunashangaa magari, mapenzi, mbiu nk...

pia natubaliana nawe kwa analysis yako kwamba ni most influencial, kumbuka hata ananayenishindisha njaa, au jambazi aweza kuwa most influencial kwani atanifundisha wizi, kuua nk... there are bad influences and good incluences... so he could the most influencial but in a bad way... matumaini kwa watanzania yamefifia

Mfa maji
 
Tuma ujumbe huu kwa watu 50 thanks

Last edited by a moderator:
kuna audience ya aina mbili ya kujadili hapa. 1. wanaokwenda kumwona rais anavyoingia na vimulimuli 2. wanaokwenda kumsikiliza mgombea urais wanayeamini atakuwa rais bora.
 
There is empirical evidence that among knowledgeable Tanzanians, Kikwete has just 20% support while Slaa has 75%. That was established via opinions polls on the Daily News and Jamiiforums websites.

Mtu akienda mkutano wa CCM kupokea kanga au t-shirt ya bure wewe unachukulia kwamba anampenda Kikwete? Anapenda hongo za Kikwete, ila kura ataweza kumpa Slaa. Anafahamu fika ni fedha za uma zimechotwa kununulia hizo kanga na vitenge.
 
Back
Top Bottom