The most prevalent diseases in Tanzania

The most prevalent diseases in Tanzania

Salanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
364
Reaction score
44
Habari za siku nyingi wakuu.

Natumai wote ni wazima wa afya.
Ningependa kufahamu magonjwa yanayowasumbua watanzania kwa wingi.
Hii ni kwa sababu ninasoma udaktari nje ya Tanzania na najiandaa kuwatumikia watanzania,hivyo kujua magonjwa common Tanzania inanisaidia kujiandaa vizuri kwa ajili kumwangamiza adui maradhi katika nchi yangu Tanzania.


Shukrani......na karibuni kuchangia
 
Ni swali pana.

Magonjwa ya kuambukiza au yasiyoambukiza (NCD)? Pia takwimu nyingi zimepangwa kulingana na umri (age) au hatari (risk, vulnerability).

Hivyo sababu za vifo kwa watoto, akina mama n.k zinatolewa kwa mfumo huo.

Hata hivyo, fuatilia takwimu zifuatazo kwenye ukurasa wa Tanzania WHO:

http://www.who.int/gho/countries/tza/country_profiles/en/index.html

Tembelea hapa chini kutengeza takwimu kadri ya indicators unazohitaji:

http://apps.who.int/healthinfo/statistics/mortality/whodpms/

Sasa kujibu swali lako, angalia takwimu hizi za mwaka 2006, ukurasa wa Tatu: Top ten causes of deaths, all ages, in TZ. Death and DALY estimates by cause:

http://www.afro.who.int/index.php?option=com_docman&task=doc_download&gid=58&Itemid=2111

Au hapa: http://www.afro.who.int/en/tanzania/country-health-profile.html

Waweza kupata takwimu za hivi karibuni kwenye ile link ya WHO statitistics niloyoweka mwanzo.

Utanisamehe natumia simu hivyo ni kazi kidogo kuweka vitu vingi hapa.

Natumai haya yatakusaidia.
 
habari za siku nyingi wakuu.

Natumai wote ni wazima wa afya.
Ningependa kufahamu magonjwa yanayowasumbua watanzania kwa wingi.
Hii ni kwa sababu ninasoma udaktari nje ya tanzania na najiandaa kuwatumikia watanzania,hivyo kujua magonjwa common tanzania inanisaidia kujiandaa vizuri kwa ajili kumwangamiza adui maradhi katika nchi yangu tanzania.


Shukrani......na karibuni kuchangia

hiv/aids; u.t.i
 
Habari za siku nyingi wakuu.

Natumai wote ni wazima wa afya.
Ningependa kufahamu magonjwa yanayowasumbua watanzania kwa wingi.
Hii ni kwa sababu ninasoma udaktari nje ya Tanzania na najiandaa kuwatumikia watanzania,hivyo kujua magonjwa common Tanzania inanisaidia kujiandaa vizuri kwa ajili kumwangamiza adui maradhi katika nchi yangu Tanzania.


Shukrani......na karibuni kuchangia
Malaria,UTI,HIV(AIDS),BP,Kisukari etc
 
Asanteni sana Sekenke, Mwashelii,Paty,Jephta 2003,Zion Daughter.....

I believe this will help me.
 
Back
Top Bottom