The Network: Abdul kiungo muhimu kati ya Rostam Aziz na Mukhsin Patel upande mmoja na Sameer Karim Alibhai na W. Salum upande mwingine

Taratibu mkuu, kila jambo lina wakati wake.

Usihimize matumizi ya "hasira za mkizi"!'

Documentation has never failed anyone, proper documentation, that is!
 
CCM wakiendelea kutawala wataharibu nchi hawaongozwi na itikadi tena bali wanaongozwa na maslahi ya magenge yao ndani ya chama na wafanyabiashara.
Tunaelekea Venezuela, Haiti au Mexico muda utasema
Unataka waiharibu mara ngapi?
 
Tunataka Katiba Mpya itakayoruhusu Raisi kushtakiwa na kuburuzwa Mahakamani kwa Rushwa Upigaji na Wizi wa Mali za Umma.
KATIBA MPYA NI SASA ✌️✌️✌️
WRONG!
Katiba siyo lazima kuliadabisha jizi popote pale. Luxury ya namna hiyo haipo popote duniani.
 
Mkuu 'Macho...', ninakusoma sana.
Hili la "muhimu ni uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa", ni gumu sana kuliongelea kivingine isipokuwa uzuri wake tu basi!
Nami uamini wangu umekuwa hivyo wakati wote, hadi hivi karibuni nikaanza kuingiwa na wasiwasi juu yake.

Haya mazingira yetu katika hizi nchi za kimaskini hizi, ni bahati bahati tu kupata fursa ya namna hiyo na kuitumia ipasavyo bila ya kuingiliwa kwa njia moja au nyingine; kuingiliwa toka ndani kwa ndani au hata toka nje.

Kwa miaka ya hivi karibuni hasa baada ya kuona CCM ilipo tufikisha, nimejikuta nikitamani tumpate dikteta wa kwelikweli, kama yule wa Singapore enzi zile asiyetaka mchezo kuhusu maswala ya nchi, lakini pia asiyeonea watu kwa sababu za kipumbavu kama Magufuli.

Chia hawana hii demokrasia tunayo imbishwa, lakini mambo yao yanakwenda tu, chini ya chama chao cha Kikomunisti.
Nadhani inafaa tufike mahali tuanze kupanua mawazo yetu kuhusu hizi nyimbo tunazo imbishwa kila mara na hawa wanaotaka tufuate 'values' zao, hata mahali zisipo kuwa na maana kwetu.

Sitakulaumu ukinistaajabu nikitamuka waziwazi hapa kwamba kwa sasa "Naiombea Tanzania, impate 'a Benevolent Dictator.'"
Kwa hali hii iliyopo hapa nchini kwa sasa, silijutii kabisa wazo hili.
 
Magufuli aliwekewa samia na wanaojiita watoto wa mjini
 
hii imeeditiwa hii ?
 
Duuh
 
Hakuna, tunahitaji watu wapya, fikra mpya. Ila hawa wa kuwaza 10% kila mradi, tuna safari ndefu sana.
Aliyekuwa anaweza kufanya mabadiliko ya kimfumo alikuwa ni Dr magufuli pekee.....ila bahati mbaya na yeye akaingia Tamaa ya madaraka.

Kupata tena Rais bora itachukua miaka 30 ijayo.

No katiba mpya, uchaguzi wanajishindisha mafisadi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…