Wewe utakuwa na chuki zako mwenyewe mbona Bella yuko poaafu huyo bella simkubali sikuhizi kawa mnafiki
mnaishi wapi skuiziWewe utakuwa na chuki zako mwenyewe mbona Bella yuko poa
Huhuhuuuu ola lalaaaa huu Mwaka hauishi tutaskia mengineUmepepesa macho hamna kiba hapo n.diamond
Mtackia nn embu nidokeze unachojua [emoji19]Huhuhuuuu ola lalaaaa huu Mwaka hauishi tutaskia mengine
Sijui chochote ndugu najisemea tu[emoji40] [emoji40] [emoji114]Mtackia nn embu nidokeze unachojua [emoji19]
Kama chris browm na rihana hawa watu
Kanichekesha sana,kasema daimond kamvua nguo[emoji23]Akisapoti wema mnasema ni kiki...
Akisapoti domo mnasema jambo jema..... acheni double standards...
Ila hongera zao
Pole kwa duller square...... kibarua kinaota nyasi sasa...heri ukalime alizeti tu
Kwenye zari na wema haiwezekani hata kidogo mkuuKwa alichokifanya Diamond wale wapenda mabifu uchwara wamemind halafu wanajaribu kuanzisha speculations zingine kuwa eti Zari atakuwa kamind sanaa iyo ishu ...mara oooho kuna uwezekano wa Mondi kumrudia Wema na mengine meeengi...SASA wajiandae mapemaaaaaa maaana kuna bonge moja la surprise linakuja.....pale watakapoona mamaa Zari na Wema Sepenga wakipiga story na kula good time pamoja huku Mondi akiwa pembeni,apo sijui ndo watasema nini.....na ni sooon and very soooon....Jiandaeni kutapika!!!!!!!
N.B. nukuu videoclip ya mondi wakati anatoa sababu ya kuhahirisha kutoa nyimbo yake na P square kisha kuitambulisha ya Harmonize..alisema ni sababu nzuri tuu ya kibiashara na Yeeeees its all about Bussiness..Mondi pamoja na Wema+Zari wataiteka tena Africa nzimaaaaaaa,jiandaeni tuu
Amini usiamini mkuuu soon utaona tuuuu....tunza hii post yanguKwenye zari na wema haiwezekani hata kidogo mkuu
Kauli yako si ya Mungu,kumbuka hakuna linaloshindikanaKwenye zari na wema haiwezekani hata kidogo mkuu
Zari ana wivu sana hawezi Fanya kitu kama hichoAmini usiamini mkuuu soon utaona tuuuu....tunza hii post yangu
Mkuu sio wema na zari tu hata Mimi siwez kukaa et X wa mpenzi wangu alaf nikijua walipendana hiyo unakuwa unawapa nafasi ya kuibua upya mapenzi yaoKauli yako si ya Mungu,kumbuka hakuna linaloshindikana
Akisapoti wema mnasema ni kiki...
Akisapoti domo mnasema jambo jema..... acheni double standards...
Ila hongera zao
Pole kwa duller square...... kibarua kinaota nyasi sasa...heri ukalime alizeti tu
Zari ana wivu sana hawezi Fanya kitu kama hicho