The new chapter between Diamond Platnumz and Wema Sepetu

huyo ni kiba
5ae25c736bd9b0b94424097b01b77374.jpg

Zote N diamond
 
Kwa alichokifanya Diamond wale wapenda mabifu uchwara wamemind halafu wanajaribu kuanzisha speculations zingine kuwa eti Zari atakuwa kamind sanaa iyo ishu ...mara oooho kuna uwezekano wa Mondi kumrudia Wema na mengine meeengi...SASA wajiandae mapemaaaaaa maaana kuna bonge moja la surprise linakuja.....pale watakapoona mamaa Zari na Wema Sepenga wakipiga story na kula good time pamoja huku Mondi akiwa pembeni,apo sijui ndo watasema nini.....na ni sooon and very soooon....Jiandaeni kutapika!!!!!!!

N.B. nukuu videoclip ya mondi wakati anatoa sababu ya kuhahirisha kutoa nyimbo yake na P square kisha kuitambulisha ya Harmonize..alisema ni sababu nzuri tuu ya kibiashara na Yeeeees its all about Bussiness..Mondi pamoja na Wema+Zari wataiteka tena Africa nzimaaaaaaa,jiandaeni tuu
 
Hicho kitu cha kawaida kumbukeni Diamond aliombewa kura za BET na hao wote,kumbuka wema alisha post kuhusu ujio wa Rich Mavoko! Na kisanii hicho ni kitu kizuri
 
Akisapoti wema mnasema ni kiki...

Akisapoti domo mnasema jambo jema..... acheni double standards...

Ila hongera zao

Pole kwa duller square...... kibarua kinaota nyasi sasa...heri ukalime alizeti tu
Kanichekesha sana,kasema daimond kamvua nguo[emoji23]
 
Kwa alichokifanya Diamond wale wapenda mabifu uchwara wamemind halafu wanajaribu kuanzisha speculations zingine kuwa eti Zari atakuwa kamind sanaa iyo ishu ...mara oooho kuna uwezekano wa Mondi kumrudia Wema na mengine meeengi...SASA wajiandae mapemaaaaaa maaana kuna bonge moja la surprise linakuja.....pale watakapoona mamaa Zari na Wema Sepenga wakipiga story na kula good time pamoja huku Mondi akiwa pembeni,apo sijui ndo watasema nini.....na ni sooon and very soooon....Jiandaeni kutapika!!!!!!!

N.B. nukuu videoclip ya mondi wakati anatoa sababu ya kuhahirisha kutoa nyimbo yake na P square kisha kuitambulisha ya Harmonize..alisema ni sababu nzuri tuu ya kibiashara na Yeeeees its all about Bussiness..Mondi pamoja na Wema+Zari wataiteka tena Africa nzimaaaaaaa,jiandaeni tuu
Kwenye zari na wema haiwezekani hata kidogo mkuu
 
Akisapoti wema mnasema ni kiki...

Akisapoti domo mnasema jambo jema..... acheni double standards...

Ila hongera zao

Pole kwa duller square...... kibarua kinaota nyasi sasa...heri ukalime alizeti tu

Mkuu wabongo kwa unafiki na double standards ndio wenyewe...Hapo ingekuwa kapost wema ingekuwa ni matusi tu kwake na kusema anatafuta kiki, na kusema anang'ang'aniza penzi kwa diamond...Yaani in short angepewa kila jina baya....

Kama unakumbuka pia Zari alipopost snapchat ya dongo kwa Wema kuhusu kuingia labour n stuff, Humu JF watu eti wanaulizana itakuwa kaudhiwa Zari, Sijui wamemchokoza nini Zari, Itakuwa wema kamchokonoa......Lakini siku wema akipost dongo lolote tu, utaona wabongo wanavyomvaa.....Yaani huu unafiki wa wabongo unatia kichefuchefu asee
 
Back
Top Bottom