The new chapter between Diamond Platnumz and Wema Sepetu

The new chapter between Diamond Platnumz and Wema Sepetu

Kwa alichokifanya Diamond wale wapenda mabifu uchwara wamemind halafu wanajaribu kuanzisha speculations zingine kuwa eti Zari atakuwa kamind sanaa iyo ishu ...mara oooho kuna uwezekano wa Mondi kumrudia Wema na mengine meeengi...SASA wajiandae mapemaaaaaa maaana kuna bonge moja la surprise linakuja.....pale watakapoona mamaa Zari na Wema Sepenga wakipiga story na kula good time pamoja huku Mondi akiwa pembeni,apo sijui ndo watasema nini.....na ni sooon and very soooon....Jiandaeni kutapika!!!!!!!

N.B. nukuu videoclip ya mondi wakati anatoa sababu ya kuhahirisha kutoa nyimbo yake na P square kisha kuitambulisha ya Harmonize..alisema ni sababu nzuri tuu ya kibiashara na Yeeeees its all about Bussiness..Mondi pamoja na Wema+Zari wataiteka tena Africa nzimaaaaaaa,jiandaeni tuu
mkuu km hautojali we ni wa jinsia gani? sio kwa ubaya lakini.
 
Mondi kacheza ka pere huko insta ni bifu kat ya team Kiba vs team wema
 
Back
Top Bottom