Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,044
😂😂 Ndege wafanano....Samahani mkuu Kiduku Lilo ni ndugu yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂 Ndege wafanano....Samahani mkuu Kiduku Lilo ni ndugu yako?
Wife, haka ka mtihani ka ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.... si heri tule zetu machakari Mamsera na maembe pale Muheza?Hubby kuna msamaha wa dhambi unatolewa.
Sasa babu mbona mapasta wetu wanatufundisha ya kwamba kufa masikini hapa duniani ni ufala?Wife, haka ka mtihani ka ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.... si heri tule zetu machakari Mamsera na maembe pale Muheza?
Hawa mapasta wanaogonga Nyagi na tunaobadilishana mabaamedi?Sasa babu mbona mapasta wetu wanatufundisha ya kwamba kufa masikini hapa duniani ni ufala?
Ina maana hazina unayotaka kutuachia wajukuu zako ni K Vant pekee?
Hii ni mitego ya mabenki ya kukusanya pesa kutoka kwa wateja wake. Kama ulivyo sema wateja wenye pesa, siyo vijisenti! Hii ni kweli kabisa kwani CREDIT CARD ina faida kwani kwa mtu asiye na pesa benki? Kwenye elimu ya fedha, ukipenda financial education or financial literacy, hii ni njia ya mabenki ya kuwanasa hao wenye pesa. In fact mabenki yako tayari, kukuruhusu "UKOPE" kupitia hizo credit cards whether they are gold plated or diamond plated or silver or ruby plated, bado zinabaki ni mtego wa kukusanya pesa zako. Hata jina zinaitwa CREDIT CARDS siyo DEBIT CARDS! Umeelewa somo. In fact kuna watu wengi sana wanadaiwa na hizi financial institutions kupitia kukopa via their CREDIT CARDS. Hivyo basi jina tu, gold.diamond,silver,au ruby plated lisikusumbue au lisikudanganye, utadaiwa hadi basi!Ni kadi mpya, unapewa ukiwa na pesa ya kutosha bank. Niki sema pesa si vi chenji ni pesa ya kweli.
Haina limits na inakubalika sehemu yeyote.
Dunia ya wenye pesa inatutenga.
View attachment 1229441
Tuelimishe sisi ngumbalu wa finance mattersHii ni mitego ya mabenki ya kukusanya pesa kutoka kwa wateja wake. Kama ulivyo sema wateja wenye pesa, siyo vijisenti! Hii ni kweli kabisa kwani CREDIT CARD ina faida kwani kwa mtu asiye na pesa benki? Kwenye elimu ya fedha, ukipenda financial education or financial literacy, hii ni njia ya mabenki ya kuwanasa hao wenye pesa. In fact mabenki yako tayari, kukuruhusu "UKOPE" kupitia hizo credit cards whether they are gold plated or diamond plated or silver or ruby plated, bado zinabaki ni mtego wa kukusanya pesa zako. Hata jina zinaitwa CREDIT CARDS siyo DEBIT CARDS! Umeelewa somo. In fact kuna watu wengi sana wanadaiwa na hizi financial institutions kupitia kukopa via their CREDIT CARDS. Hivyo basi jina tu, gold.diamond,silver,au ruby plated lisikusumbue au lisikudanganye, utadaiwa hadi basi!
Hawahawa ambao MUNGU amewabariki kua na upako wa maji, mafuta pamoja na pafyumu za baraka ili wasije wakafa hali ya kua ni mafala.Hawa mapasta wanaogonga Nyagi na tunaobadilishana mabaamedi?
Huo ndio ukweli "Sky Eclat". Mabenki yote duniani kila siku yana buni njia na mbinu za kuipata hiyo pesa yako. Kwenye hizi card mara nyingi, kama alivyo sema mwanzilishi wa huu uzi, wanawalenga wenye pesa siyo wenye vijisenti. Huko Ughaibunipia wanawalenga sana wasomi na waajira wa nagzi ya kati na juu; kwani hawa wana a STEADY AND QUARANTEED PAYCHECK". Hata hapa nyumbani siku hizi hiyo ndiyo treand. Mabenki yana walenga sana waajiriwa wa serikali au mashirika ya uhakika. Si unaona wanavyo wapa mikopo kwa masharti nafuu sana. Nasikia kuna benki nyingine ziko tayari hata KUNUNUA MADENI ya hawa waajiriwa; nini maana yake kama siyo kupata hizo pesa zao, LAKIN ata the end of the day hawa wakiingia kwenye mtego na kukopa BILA MPANGILIO, yaani wakikopa kwa ajili ya kununua LIABILITY ITEMS kama magari, samani na vitu vya aina hiyo, wataishia KUDAIWA na hayo mabanki. Matokeo ya kudaiwa na mabeni SI MNAYAJUA!?Tuelimishe sisi ngumbalu wa finance matters
Mkopo unaanzia ukishapata University admission tu wana kuanzia na £3,000 overdraftHuo ndio ukweli "Sky Eclat". Mabenki yote duniani kila siku yana buni njia na mbinu za kuipata hiyo pesa yako. Kwenye hizi card mara nyingi, kama alivyo sema mwanzilishi wa huu uzi, wanawalenga wenye pesa siyo wenye vijisenti. Huko Ughaibunipia wanawalenga sana wasomi na waajira wa nagzi ya kati na juu; kwani hawa wana a STEADY AND QUARANTEED PAYCHECK". Hata hapa nyumbani siku hizi hiyo ndiyo treand. Mabenki yana walenga sana waajiriwa wa serikali au mashirika ya uhakika. Si unaona wanavyo wapa mikopo kwa masharti nafuu sana. Nasikia kuna benki nyingine ziko tayari hata KUNUNUA MADENI ya hawa waajiriwa; nini maana yake kama siyo kupata hizo pesa zao, LAKIN ata the end of the day hawa wakiingia kwenye mtego na kukopa BILA MPANGILIO, yaani wakikopa kwa ajili ya kununua LIABILITY ITEMS kama magari, samani na vitu vya aina hiyo, wataishia KUDAIWA na hayo mabanki. Matokeo ya kudaiwa na mabeni SI MNAYAJUA!?
Si unaona!? $3000 kwenye kiwango cha Shs. 2300 ni sawa na Shs.6,900,000/= kama OVERDRAFT! Utatokea wapi kwa mishahara hii ya sasa kama siyo kuendelea kuwa mteja wao mdaiwa? Na hasa hasa kama hauta IWEKEZA hiyo pesa kwenye miradi ya kukuzalishia na ikuletee kipato (INCOME). Hiyo miradi inakuwa ASSETS zako zenye kukuzalishia pesa ili kulipa hiyo overdraft! Vinginevyo ni ufukara na umasikini wa kudumu na kuendelea kuwa "TEJA" (kama ukipenda) wa hiyo benki all your life.Mkopo unaanzia ukishapata University admission tu wana kuanzia na £3,000 overdraft
Kuna namna nzuri ya kufurahia OD na ni facility nzuri ambayo wafanyabiasha huitumia, shida ni hiyo Credit card ambazo itakufanya uitumie tuuu na ndio mtego uko hapo. Ila kwa wajanja wanatumia debit card nadhani tunaelewana tofauti ya credit card na debit card kwa wale wenzangu na mimi.Si unaona!? $3000 kwenye kiwango cha Shs. 2300 ni sawa na Shs.6,900,000/= kama OVERDRAFT! Utatokea wapi kwa mishahara hii ya sasa kama siyo kuendelea kuwa mteja wao mdaiwa? Na hasa hasa kama hauta IWEKEZA hiyo pesa kwenye miradi ya kukuzalishia na ikuletee kipato (INCOME). Hiyo miradi inakuwa ASSETS zako zenye kukuzalishia pesa ili kulipa hiyo overdraft! Vinginevyo ni ufukara na umasikini wa kudumu na kuendelea kuwa "TEJA" (kama ukipenda) wa hiyo benki all your life.
GOOD!Kuna namna nzuri ya kufurahia OD na ni facility nzuri ambayo wafanyabiasha huitumia, shida ni hiyo Credit card ambazo itakufanya uitumie tuuu na ndio mtego uko hapo. Ila kwa wajanja wanatumia debit card nadhani tunaelewana tofauti ya credit card na debit card kwa wale wenzangu na mimi.
Credit card = unatumia kisicho chako. (OD)
Debit card = unatumia chako
Mara nyingi sanaa benki hunufaika na watu wasiojua elimu na ujanja wa kibenki. Ukichimba sanaaa benki zilianzishwa na Mafia Mob ikiwa ni namna halali ya kudhulumu fweza za wananchi wa kawaida na serikali.