Hehehee! Hawa jamaa wamezingua. Hivi kweli hili gani litatumika tena jeshini? Wamekosea saana.
Mimi ninayo Freelander ilinitesa . Ukiua spare mpaka kuagiza . Wafanye spare zao ziwe kama Toyota. Anytime, anywhere unapata huduma. Siyo mpaka dealer bhuaana
Gari ya kazi ikiwaga auto ni kazi bure kabisaa.Nimeangalia hapo nikaona Automatic Transmission hamu yote ikaisha
Sijui kwanini napenda gari za Manual Transmission
K series engine ziliwatesa sana wenye freelander.Mimi ninayo Freelander ilinitesa . Ukiua spare mpaka kuagiza . Wafanye spare zao ziwe kama Toyota. Anytime, anywhere unapata huduma. Siyo mpaka dealer bhuaana
Labda kama car enthusiast watakua wameisha duniani,wameijaribu steptronic lkn imeshindwa ku-replace manual.Miaka kumi ijayo manual cars ni sawa na hazipo kabisa.
Mangi bado nasema wazilete na spare zipatikane kirahisi. Wewe upo safarini gari inaleta hitilafu mpaka ubadili gari ?!. Gari haitakuharibikia nyumbani bali safarini .Mkuu ukiwa na uwezo wa kumiliki gari kama hilo, maana yake huna gari moja. Ikisumbua unaendelea kutumia nyingine then unaagiza spea.
Wenye magari kama hayo wana magari mengi, na moja likisumbua spea, inaagizwa huku akitumia nyingine.
Labda kama car enthusiast watakua wameisha duniani,wameijaribu steptronic lkn imeshindwa ku-replace manual.
Utakuwa mgeni wa magari. UK asilimia ubwa wanatumia manualMiaka kumi ijayo manual cars ni sawa na hazipo kabisa.
Muulize alokuwa na Frelander ya mwaka gani?Mkuu ukiwa na uwezo wa kumiliki gari kama hilo, maana yake huna gari moja. Ikisumbua unaendelea kutumia nyingine then unaagiza spea.
Wenye magari kama hayo wana magari mengi, na moja likisumbua spea, inaagizwa huku akitumia nyingine.
Teknolojia na umeme mwingi sana vimetumika hapa.
Wamesha chemka unaweza uka customize tu hiyo old modelBora wangeiboresha hii...
Alie kuambia manual haipo nani?
Kumbuka hizi zinatoka kwa order unasema unataka nini unatengenezewa
MKuu bora tubaki na gari zetu za kazi Land Cruiser 70 Series na Defender za miaka ya nyuma.Gari baya kishenzi,wameliharibu tu mwanzo mwisho.
Defenders imekua gari ya akina mama ya kwenda sokoni na saloonDefender ya kazi imezikwa rasmi! Hii sio gari ya kazi tena imekua kikanjibai kanjiabai!! Histiria ya mwingereza iliyodumu kwa miaka 60 imezikwa rasmi
Wamechemka sana! Moja ya sifa ya defender ni Manual transmission sasa hawa jamaa wamekuja kuweka gia kama ya fun cargo Au porteNimeangalia hapo nikaona Automatic Transmission hamu yote ikaisha
Sijui kwanini napenda gari za Manual Transmission
Daah Mkuu wameharibu kabisaa,imekua ni takataka tu.MKuu bora tubaki na gari zetu za kazi Land Cruiser 70 Series na Defender za miaka ya nyuma.