The new Landrove Defender

Nadhani kwa gari ngumu, ni LC 70 series pekee ndo ina body ngumu.

Gari nyingi sasa zina body laini sana.
 

😀 😀 😀 Ndoki a.k.a Gobole... watu wa Kwiro High School ..huo ndio ulikuwa mzigo wa Kutoka Ifodha moja....Inapanda ile Ndororo taratibu huku Dereva kaweka kiwiko kwa nje.....😀😀😀😀
 
Reviewers karibu wote wa UK wamelisifia. Ila ukiangalia comments za wadau huko ndio utajua. Kuna mmoja amejiuliza Hammond amelipwa kiasi gani mpaka kulisifia hilo gari?
mhhhhh bro.....dah hapa mimi naona tulipe muda kidogo maana imetoka hata mwezi halijamaliza so tuwe na subira mi naona wengi mnaliogopa kisa ile sura.....wengi wanadhani ni la ki mayai mayai hivi hapana .......ile ni land Rover tena defender (hardcore offroader) sio disco wala range so lazima iwe ngumu......... sema imedevelop kimuonekano ndo maana inaogopeka ila mi naipa thumbs up kabisa kama ulimsikiliza hammond vizuri anasema the thing can pass a metre of deep water na inajua yenyew kina cha maji inapopita which is a good thing for off-roading mengi yameongelewa nikiandika simalizi so hayo nadhani ushaprove.....ila kuhusu favouring kwa hammond mhhhhh inawezekana.......maana yule ni mbritish na landrover nao wa brit so labda ameipump home brand.......
 
dah umeongea point kabisa mkuu!
ni kama ford mustang hivo hivo watu wanalalmika imekua soft lakini wa 1986 walilalamika hivo hivo.......
 
Yaani concept ya offroading ya wazungu ni tofauti saana na ya kwetu. Wao wanaifanya for fun, sisi ni maisha yetu ya kila siku. Fikiria hizo taa za mbele, unaweza kuzifungia ziwe wavu kama za FFU ili zisipigwe mawe kwenye vurugu? Au kulibebesha mkaa kama mdau mmoja alivyopiga picha? Sisesi kama haliwezi kubeba, point yangu ni kwamba it is too good looking kufanya kazi za namna hiyo. Ila kama ulivyosema, tulipe muda.
 
Jamaa aliyedesign Range Rover, Charles Spencer King, aliwahi kujutia creation yake, alisema lengo lake halikuwa kutengeneza gari la kifahari linalomilikiwa na wachache na kuendeshwa mijini kama lilivyo Range Rover la leo, yeye alitaka gari la kazi, lenye uwezi mkubwa kuliko the Land Rover. Nakumbuka aliwahi kunukuliwa akiongelea creation yake na kusema, "Sadly, the 4x4 has become an acceptable alternative to Mercedes or BMW for the pompous, self-important driver... To use them for the school run, or even in cities or towns at all, is stupid."

Sasa Land Rover Defender jipya linaelekea huko huko.
 
Itakua hatari sana hiyo toleo mpya wakati Disco 4 tuu ina mapumziko sana sasa hii sijui itakuaje hela zinakimbia Mambo mazuri ya kumwaga nilipita sehemu nikakutana Mercedes moja balaa ya 2019....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…