The new Landrove Defender

The new Landrove Defender

Dah Warudishe Chenchi aisee. Kwani walikosa jina Lingine ili hili waliache. Binafsi naona wametoa toleo la Wanawake.
 
Attachments

  • 110 og.jpg
    110 og.jpg
    29 KB · Views: 15
  • difenderl.jpg
    difenderl.jpg
    49.5 KB · Views: 20
  • Mwarobaini.jpg
    Mwarobaini.jpg
    44 KB · Views: 17
Mlitaka iweje?

Hata G wagon ya sasa si ya miaka ya 70.

Ya sasa imejazwa umeme mwingi na teknolojia za kufa mtu.

Ambacho hakijabadilika sana ni body structure.

Defender wameamua kubadili kulingana na teknolojia iliopo.

Miaka 50 ijayo, defender ya sasa itaonekana lulu kama mnavyoilili iliopita
Haiwezi kufika hiyo miaka 50. G wagon vile bado ime retain its rugged structure from the original car, ni rahisi kuwa customized na kutumika kwa lengo lake ya mwanzo ambalo ni basically gari la kivita. Maana hizo features nyingi za umeme ni optional, sio standard kama kwenye Defender. Ila hii Defender mmh! Bumper lake tu ukigonga hata mbwa unaliacha hapo.
 
Naona mpk hio picha ya mwisho hapo umei save kwa jina la mwarobaini hahah.
Acha kabisa CHUNGU LAKINI DAWA nazaliwa mpaka kesho yapo road tena kwa kazi za shurubashuruba kama break down nk. leo unaleta freelander+discover mixer na range humohumo halafu linaitwa diffender. watoe maelezo vizuri aisee maana watasababisha model za zamani kupanda bei... hii sio ya wanaume wa shoka, yaani hata haujisifii bwana. angalia tuu gear liver yake, yaani hii design ni kwa ajili ya kuwavutia madem.
 
Halafu inaonekana body plastic na bati ni 50/50
Hii haiwezi kazi za kwenda Landanai na huko Mererani...
Muonekano naona wameiba kidogo kwa Discovery na Range...kwa hiyo hamna ladha mpya hapo.
Hiyo hata Kitwai haiwezi kufika?
 
Mlitaka iweje?

Hata G wagon ya sasa si ya miaka ya 70.

Ya sasa imejazwa umeme mwingi na teknolojia za kufa mtu.

Ambacho hakijabadilika sana ni body structure.

Defender wameamua kubadili kulingana na teknolojia iliopo.

Miaka 50 ijayo, defender ya sasa itaonekana lulu kama mnavyoilili iliopita
Mkuu, unajua gari kadri linavyokuwa sophisticated saana na umeme, linakuwa less reliable, na uwezo wa kudumu muda mrefu unapungua. Hata resale value yake kwenye used markets inashuka. Range Rover ikiwa mpya inazidi Defender bei mara mbili au zaidi. Ila kwenye used market Defender ina bei kubwa hata 3 times ya Range Rover. Leo hii ukiangalia Defender ya 1990s ina bei kubwa kuliko Range Rover ya 2000s. Wajuzi wa Range Rovers wanakwambia huwa wanazitumia zikiwa kwenye warrant tu. By the time zimetoka kwenye warrant wanaziuza, maana maintenance cost inakuwa kubwa mno, kila mara linazingua, na cost ya repair inakuwa kubwa. Ila kina Defender wa zamani ambao ni very mechanical, bado wanatesa tu.
 
Acha kabisa CHUNGU LAKINI DAWA nazaliwa mpaka kesho yapo road tena kwa kazi za shurubashuruba kama break down nk. leo unaleta freelander+discover mixer na range humohumo halafu linaitwa diffender. watoe maelezo vizuri aisee maana watasababisha model za zamani kupanda bei... hii sio ya wanaume wa shoka, yaani hata haujisifii bwana. angalia tuu gear liver yake, yaani hii design ni kwa ajili ya kuwavutia madem.
Hahah daah point ulizoweka hapa nikifananisha na jina La mwarobaini naona uko sawa kabisaaa hahah.

Kuna shule ilikua na hilo mwarobaini mpk cooking oil sometimes walikuaga wanatumia kama mafuta ya gari na linapiga kazi fresh tu,najua kuna wabishi wabishi watakuja kubisha hapa lkn ndo hivyo tena.

Hapa waingereza wafanye tu Economic Intelligence ya maana,unaweza kuta hawa wahindi wametumwa kuja kuimalizia Landrover especially Defender&Discovery.
 
wanatuigizia hawa jamaa..sasa hiyo gari kuipitisha kwenye matope ndio kutafanya tuone imepita rough road? wanajua barabara za rough hawa au wanaigiza?

hiyo gari wanaipitisha kwenye maji as if wanatangaza samsung s10 water proof..Bado hiyo si landrover aseee...

HIVI kweli unaweza linganisha huyu mnyama na hako ka baby face kapya ka kwendea sea clief

View attachment 1205861

Hao ndio wanyama ila huyu mpya walietuletea...Mtoto wa nnje ya ndoa hata hajaeleweka aseee
Mkuu hii kitu ni funika aise. I wish ungewatumia hawa jamaa wakaelewa tunamaanisha nini tunapolalamika.
 
Hii imekuwa sio gari ya kazi tena bali ni gari ya kislay queen zaidi [emoji23][emoji23]
 
Acha kabisa CHUNGU LAKINI DAWA nazaliwa mpaka kesho yapo road tena kwa kazi za shurubashuruba kama break down nk. leo unaleta freelander+discover mixer na range humohumo halafu linaitwa diffender. watoe maelezo vizuri aisee maana watasababisha model za zamani kupanda bei... hii sio ya wanaume wa shoka, yaani hata haujisifii bwana. angalia tuu gear liver yake, yaani hii design ni kwa ajili ya kuwavutia madem.
Zimeshapanda bei saana mkuu. Hata kibongo bongo kuna jamaa wanazinunua zilizoko juu ya mawe na kuzifufua.
 
Hahah daah i hope wangepitia huku wakajipatia free consultation(majina ya bureeee) ya magari yao.

Kuna ka-nissan nakapendaga,hua naiona imekaa fresh afu kitu VQ35 na bei reasonable ila sasa jina lake ndo lina nipaga changamoto inaitwa Nissan Fairlady z,hio 'fairlady' (ingawa najua ina definition nyingi ) lkn hua ni kisanga.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
au ingeitwa Feminine Rover halfu defender waliache na muonekano wake ule ule..

this is not a masculine car..
 
Back
Top Bottom