Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu bado wana Freelander na Evoque. Yaani sijui wamekuaje hawa.
Dah Warudishe Chenchi aisee. Kwani walikosa jina Lingine ili hili waliache. Binafsi naona wametoa toleo la Wanawake.
Haiwezi kufika hiyo miaka 50. G wagon vile bado ime retain its rugged structure from the original car, ni rahisi kuwa customized na kutumika kwa lengo lake ya mwanzo ambalo ni basically gari la kivita. Maana hizo features nyingi za umeme ni optional, sio standard kama kwenye Defender. Ila hii Defender mmh! Bumper lake tu ukigonga hata mbwa unaliacha hapo.Mlitaka iweje?
Hata G wagon ya sasa si ya miaka ya 70.
Ya sasa imejazwa umeme mwingi na teknolojia za kufa mtu.
Ambacho hakijabadilika sana ni body structure.
Defender wameamua kubadili kulingana na teknolojia iliopo.
Miaka 50 ijayo, defender ya sasa itaonekana lulu kama mnavyoilili iliopita
Hizi ndio gari za kazi... Nyingine zote sawa na kuku wa broiler tuDah Warudishe Chenchi aisee. Kwani walikosa jina Lingine ili hili waliache. Binafsi naona wametoa toleo la Wanawake.
Acha kabisa CHUNGU LAKINI DAWA nazaliwa mpaka kesho yapo road tena kwa kazi za shurubashuruba kama break down nk. leo unaleta freelander+discover mixer na range humohumo halafu linaitwa diffender. watoe maelezo vizuri aisee maana watasababisha model za zamani kupanda bei... hii sio ya wanaume wa shoka, yaani hata haujisifii bwana. angalia tuu gear liver yake, yaani hii design ni kwa ajili ya kuwavutia madem.Naona mpk hio picha ya mwisho hapo umei save kwa jina la mwarobaini hahah.
Hehehee, kazi ipo aise.Na hybrid ya Landrover iko njiani,tujiandae kisaikolojia tu mkuu.
Naunga mkono. Bora wangeliita jina lingine.Dah Warudishe Chenchi aisee. Kwani walikosa jina Lingine ili hili waliache. Binafsi naona wametoa toleo la Wanawake.
Hiyo hata Kitwai haiwezi kufika?Halafu inaonekana body plastic na bati ni 50/50
Hii haiwezi kazi za kwenda Landanai na huko Mererani...
Muonekano naona wameiba kidogo kwa Discovery na Range...kwa hiyo hamna ladha mpya hapo.
Dah Warudishe Chenchi aisee. Kwani walikosa jina Lingine ili hili waliache. Binafsi naona wametoa toleo la Wanawake.
Hehehee, ndio maana sidhani kama manual transmission itawahi kuwepo kwenye hilo gari.Hakuna kitu wamenikera nacho kama hiyo gear lever walipoiweka...wameiwwka kama kwenye Noah old model...[emoji83]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wangeliita LAND LADY
Mkuu, unajua gari kadri linavyokuwa sophisticated saana na umeme, linakuwa less reliable, na uwezo wa kudumu muda mrefu unapungua. Hata resale value yake kwenye used markets inashuka. Range Rover ikiwa mpya inazidi Defender bei mara mbili au zaidi. Ila kwenye used market Defender ina bei kubwa hata 3 times ya Range Rover. Leo hii ukiangalia Defender ya 1990s ina bei kubwa kuliko Range Rover ya 2000s. Wajuzi wa Range Rovers wanakwambia huwa wanazitumia zikiwa kwenye warrant tu. By the time zimetoka kwenye warrant wanaziuza, maana maintenance cost inakuwa kubwa mno, kila mara linazingua, na cost ya repair inakuwa kubwa. Ila kina Defender wa zamani ambao ni very mechanical, bado wanatesa tu.Mlitaka iweje?
Hata G wagon ya sasa si ya miaka ya 70.
Ya sasa imejazwa umeme mwingi na teknolojia za kufa mtu.
Ambacho hakijabadilika sana ni body structure.
Defender wameamua kubadili kulingana na teknolojia iliopo.
Miaka 50 ijayo, defender ya sasa itaonekana lulu kama mnavyoilili iliopita
Hahah daah point ulizoweka hapa nikifananisha na jina La mwarobaini naona uko sawa kabisaaa hahah.Acha kabisa CHUNGU LAKINI DAWA nazaliwa mpaka kesho yapo road tena kwa kazi za shurubashuruba kama break down nk. leo unaleta freelander+discover mixer na range humohumo halafu linaitwa diffender. watoe maelezo vizuri aisee maana watasababisha model za zamani kupanda bei... hii sio ya wanaume wa shoka, yaani hata haujisifii bwana. angalia tuu gear liver yake, yaani hii design ni kwa ajili ya kuwavutia madem.
Mkuu hii kitu ni funika aise. I wish ungewatumia hawa jamaa wakaelewa tunamaanisha nini tunapolalamika.wanatuigizia hawa jamaa..sasa hiyo gari kuipitisha kwenye matope ndio kutafanya tuone imepita rough road? wanajua barabara za rough hawa au wanaigiza?
hiyo gari wanaipitisha kwenye maji as if wanatangaza samsung s10 water proof..Bado hiyo si landrover aseee...
HIVI kweli unaweza linganisha huyu mnyama na hako ka baby face kapya ka kwendea sea clief
View attachment 1205861
Hao ndio wanyama ila huyu mpya walietuletea...Mtoto wa nnje ya ndoa hata hajaeleweka aseee
Zimeshapanda bei saana mkuu. Hata kibongo bongo kuna jamaa wanazinunua zilizoko juu ya mawe na kuzifufua.Acha kabisa CHUNGU LAKINI DAWA nazaliwa mpaka kesho yapo road tena kwa kazi za shurubashuruba kama break down nk. leo unaleta freelander+discover mixer na range humohumo halafu linaitwa diffender. watoe maelezo vizuri aisee maana watasababisha model za zamani kupanda bei... hii sio ya wanaume wa shoka, yaani hata haujisifii bwana. angalia tuu gear liver yake, yaani hii design ni kwa ajili ya kuwavutia madem.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
au ingeitwa Feminine Rover halfu defender waliache na muonekano wake ule ule..
this is not a masculine car..
Zimeshapanda bei saana mkuu. Hata kibongo bongo kuna jamaa wanazinunua zilizoko juu ya mawe na kuzifufua.