The new one

The new one

BoyHimself

Member
Joined
Mar 27, 2022
Posts
29
Reaction score
23
Hodii,ni my first time kujiunga na ma great thinkers, naamin kupitia nyinyi nitajifunza mengi.
mimi naitwa calvin, nasoma kidato cha sita,tahasusi ya HGL.
Kama itawapendeza nikaribisheni Mdogo wenu.
Asanteni.
 
Karibu naona ni mtaalam mzuri wa history na geo utatusaidia sana humu jf kuhusu mgogoro wa urusi na ukraine.
 
Tupia picha mkali wade

FB_IMG_16482321932016493.jpg
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Back
Top Bottom