The New School of Laws in Tanzania

Malengo Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
287
Reaction score
99
I am very glad to announce to those persuing LL.B that apart from providing PhD of Laws, Masters of Laws, Bachelor of Laws, Diploma and Certificate of Laws, now St. Augustine University of Tanzania (Main Campus) has been transformed to a School of Laws. That is to say SAUT becomes the second School of Laws in Tanzania (apart from that of University of Dar es salaam) from 2013/2014 new academic year. Karibuni sana wanasheria kwa practice zinazohitajika wakati wa mwaka wa 5.

Source: Dean of faculty at St. Augustine University of Tanzania (yesterday 23 sept. 2013 during his speech of opening the new academic year)
 
Itachukua muda kupata recognition hasa kutoka kwa graduates wa MLIMANI.
 
SAUT, three years LLB to compete with udsm four years LLB. tuache utani jamani, hivi vyuo vya mfukoni wakati mwingine ni vodafasta tu.
 
SAUT, three years LLB to compete with udsm four years LLB. tuache utani jamani, hivi vyuo vya mfukoni wakati mwingine ni vodafasta tu.



Acha kuupotosha umma! Bachelor of Laws SAUT ni 4 yrs kama UDSM.
 
....INAONEKANA U DONT UNDERSTAND WHAT U R SAYING, SCHOOL OF LAW (AND NOT NOT SCHOOL OF LAWS) HIYO NI MOJA, PILI, WHEN YOU ARE SAYING "SCHOOL OF LAW" IT IS EQUIVALENT TO SAY FACULTY OF LAW, AND NOTHING ELSE THEY WILL PROVIDE ZAID YA BACHELOR, LLM OR PhD,
...NAFIKIRI ULIKUWA UNAMAANISHA "LAW SCHOOL" IF SO, HII IPO MOJA TU TANZANIA NA ITAENDELEA KUWA MOJA TU, KWA SABABU YENYEWE IMEKUWA ESTABLISHED KISHERIA, (AN ACT OF PARLIAMENT) CHINI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA IWE NDIO DARAJA KWA WALE WOTE WANAOTAKA KUWA ENROLLED TO THE ROLL OF ADVOCATES WA HIGH COURT. SO SAUT HAMNA JIPYA, NI CONSOLIDATION YA FACULTY TU, SO HAKUTAKUWA NA MWAKA WA TANO HAPO.
...SCHOOL OF LAW AND LAW SCHOOL ARE TWO DIFFERENT THINGS,

....NA NDIO MAANA IKAITWA "LAW SCHOOL OF TANZANIA"

................NOTE THAT...................
 
kitu kizuri dats means sio lazmA wote waje Dar ndio wapate elimmmm:A S 41::A S 41:. ukizingatia wapo wafanyakaz wanaotamani kusomA LAW SCHOOL, kwa maana ya LAWSCHOOL sio SCHOOL OF LAW
 
Ubishi wenu hautakuwa na mwisho kama hamtafafanua maana za school of law/ school of laws na law school. Pia mueleze majukumu yake na mwanafunzi anafundishwa nini huko. Kuna tofauti gani kati ya mtu mwenye LLB aliyehudhuria school of law/ school of laws/ law school na yule ambaye ana LLB lakini hajahudhuria hizo kozi. Vinginevyo mtakuwa mnatukanganya watanzania.
 
Ass.Tutor kaongea vizuri sana he realy deserves to be ass.tutor, labda kwa kuongezea tu, hasa kwa huyo ndugu aliyezungumza suala la miaka ni kwamba usome miaka 3, 4, au 5 mwisho wa siku ukitaka kua wakili lazma uende law school. na kusoma miaka mingi sio kwamba ndio unakua competent, kumbuka kwamba vitivo vya sheria vyote vilivyopo kwenye vyuo vikuu vya tz vinasimamiwa na "council for legal education" unlike other courses. CLE ndio waliopanga reasonable time ya mtu ku graduate sheria (minimum 3yrs) na content ya course. kwa wale waliobahatika kwenda law school huwezi kukuta tofauti yeyote kati ya waliosoma miaka 3,4 au 5 inayo sababishwa na muda wa kukaa darasani bcoz content ni ile ile kwa wote.
 
...school of laws ni kwamba haipo katika legal education, labda umaanishe kitu kingine kama wanavyosema school of thoughts, lakini kinachotolewa katika school of law yoyote ile, iwe ya UDSM au hiyo iliyoanzishwa SAUT (sina uhakika) ni LLB, LL,M au Phd. na kinachotolewa Law School (ambayo ipo moja tu Tanzania, na haipo UDSM, wala haina sio sehemu ya UDSM, ni vile tu UDSM walitoa majengo yatumike kwa LS wakati inaanza) ni PGDLP (Post-Graduate Diploma in Legal Practice) tu. je bado kuna mkanganyiko ndugu?
 
trend..department,faculty,school,college then university.....udsm kuna school of law(former faculty of law) nadhan hik ndo kilichofanyika saut...when u come to law school this is another issue..jipange usikurupuke
 
Faculty of Law and School of Law are the same thing,there is no difference between them,it is a mere nomenclature.
Law school of Tanzania is another entity different from schools of law.
FYI hii trend ya kubadilisha majina ya vitivo kuwa shule ni matokeo tu ya tension kati ya american system na british sytem. While british normally use FACULTY americans use SCHOOLS to indicate the same thing. Mfano mdogo ni use of gas in american english and petroleum in british to denote the same thing.
 
 
Je,kama school of law inatoa LL.B,LL.M au Phd kwanini vyuo vingine vinavyotoa elimu hiyo haviwi school of law nikimaanisha wale wanaosoma vyuo kama Tumaini nk?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…