Olomynkunde
Member
- Aug 26, 2021
- 27
- 29
Lete Cv ya Majaliwa acha ngonjera. Raisi anaandaliwa. Raisi anatakiwa awe na uwezo mkubwa wa maarifa ya kujifunza shuleni tena kwenye shule bora si ilimradi shule, pia Raisi anatakiwa awe na elimu pana ya kujifunza kwa kuona.
Pia Raisi anatakiwa awe na exposure kubwa ya Ulimwengu, siasa zake. Na ajua madhara ya siasa zake kwa nchi na pia awe mpana wa fikra.
Naona hana elimu ya vyuo bora ulimwengunia hana exposure kubwa duniani amefungwa na misingi ya siasa za kijamaa
Kusoma harvad siyo ndo kuwa raisi bora mzee au kusoma shule zinazoshika no moja hatutaki mtu anaefaulu mitiani darasani tunataka mtu anaepiga kazi atakae tutoa from point A kwenda B argument yako naona ni ya kitoto sana