The next Tanzania president 2025 should be Kassim Majaliwa


Kusoma harvad siyo ndo kuwa raisi bora mzee au kusoma shule zinazoshika no moja hatutaki mtu anaefaulu mitiani darasani tunataka mtu anaepiga kazi atakae tutoa from point A kwenda B argument yako naona ni ya kitoto sana
 
Hatoboi 2025 ni Raisi Samiah Suluhu Hassan, hata Hayati Magufuli angekuwepo asingetoboa hiyo 2025 maana ana makundi tayari kitu ambacho wazee wa maamuzi hawakubaliana nacho
 
Unachowaza wewe ndo kinachotakiwa kuwa kabisa,Ila katika system sivo ilivo.
 
Tatizo ni nini? Wanaofia kuwalipa mafao mawili(urais na uwaziri mkuu) wakiachia madaraka? Ni nini hasa hii set up inamaanisha.
 
As per his working experience and seriousness and so that we can maintain or become middle upper income country our next president should be Kassim Majaliwa.

Let us discuss
Ama kweli bongo URAIS ni RAHISI
 
.Joseph Warioba
.Cleopa Msuya
.Fredrick Sumaye
Wote hao waliutaka wakaukosa
 
Haitokaaa itokeee waziri mkuu awe rais tena baada ya j.k. nyerere.

Kwanza huyo jamaa yenu ameshapotezwa. Akajifikirie mradi wa kufanya tu kama pinda..

Na sitamani asilani abadani awe rais

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Wamatumbi mna shida sana.
Uzi wa 'Kikristo' mnachangia Kiswazi🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…