Hahahaha sio mwenyeji wa gomz kaka uliza sinza ๐Moshi bar au Mwisho wa lami๐
Nipo KABAGHO LIQUORShikamoo bar au Mawela?
Binadamu kwa kweli tumeumbwa tofauti sana. Eti hii ni romantic date? Kuangalia sunset? ๐๐๐ Eeeh...what is romantic about that?The sunset๐View attachment 3609280
Napa miss NAF beach๐ญ๐ชJioni ya leo wakati wa kuzama jua hapa masasi mtwaraView attachment 3609301
Mabadiliko ya Mwanga (Golden Hour): Rangi za chungwa, nyekundu, na pinki angani kitaalamu huamsha hisia chanya na kumfanya kila mtu aonekane mwenye kuvutia zaidi machoni mwa mwenzake.๐Binadamu kwa kweli tumeumbwa tofauti sana. Eti hii ni romantic date? Kuangalia sunset? ๐๐๐ Eeeh...what is romantic about that?
Kumbe ๐๐Mabadiliko ya Mwanga (Golden Hour): Rangi za chungwa, nyekundu, na pinki angani kitaalamu huamsha hisia chanya na kumfanya kila mtu aonekane mwenye kuvutia zaidi machoni mwa mwenzake.๐
Mshana una range miaka mingp??Hapo hapajambo.. Serengeti inasubiriView attachment 3609303
Hii ni location ya chiungutwa Village wastani wa km 30 kutoka masasi mjini kupita newala road.Napa miss NAF beach๐ญ๐ช