Sio kweli, wako wengi zaidi in the region of 10k last time I checked.Tanzania nzima Chuo Kikuu cha kufunza Wahandisi ni 1 tu UDSM kwenye nchi yenye watu > milioni 45, sijui kuhusu Kenya, hivyo hizo takwimu ni sawa kabisa, so sad!
Sio kweli, wako wengi zaidi in the region of 10k last time I checked.
Mbona vyuo vya kuproduce engineers bongo viko kadhaa sio UDSM tu mkuu?Tanzania nzima Chuo Kikuu cha kufunza Wahandisi ni 1 tu UDSM kwenye nchi yenye watu > milioni 45, sijui kuhusu Kenya, hivyo hizo takwimu ni sawa kabisa, so sad!
Mbona vyuo vya kuproduce engineers bongo viko kadhaa sio UDSM tu mkuu?
Kuna UDOM, MUST, DIT, Arusha Technical, St Joseph vyote hivyo mbona vina produce engineers year in year out mkuu?
Barbarosa
We jamaa kama kunakitu hukijui uliza.Hivyo vyote ni diplomas hata kama hawataki kuita hivyo lkn ndiyo ukweli wenyewe, wamebadilisha jina tu ktk Diploma kwenda Bachelor lkn wanachofundisha ni cha ngazi ya diploma na siyo sawa na UDSM
We jamaa kama kunakitu hukijui uliza.
Sisi Tanzania tupo na qualification ya mtu kuitwa injinia.
Hao wakenya wameokoteza kila mtu na kumuweka kwenye database.
Siyo kila mtu anayemaliza chuo tayari anaqualify kuwa injia.
Nimekuambia fanya utafiti kabla ya kuweka kitu ambacho hujui.Jibu langu halina uhusiano na TZ vs Ke, bali nimeandika kuhusu halisi na kwamba kwangu haishangazi kuwa na Wahandisi wachache kama mpaka leo hii Chuo pekee kinachofundisha Uhandisi proper ni 1 UDSM, hivyo vingine ni ngazi ya diploma ambapo wamegeuza kuwa bachelors, sijui kuhusu Kenya na wala kusema ukweli hainihusu ila kwangu mimi tunahitaji kujipanga hapa, ...
Jibu langu halina uhusiano na TZ vs Ke, bali nimeandika kuhusu halisi na kwamba kwangu haishangazi kuwa na Wahandisi wachache kama mpaka leo hii Chuo pekee kinachofundisha Uhandisi proper ni 1 UDSM, hivyo vingine ni ngazi ya diploma ambapo wamegeuza kuwa bachelors, sijui kuhusu Kenya na wala kusema ukweli hainihusu ila kwangu mimi tunahitaji kujipanga hapa, ...
Nimekuambia fanya utafiti kabla ya kuweka kitu ambacho hujui.
View attachment 1637649
Should I remind who designed your Dodoma Parliament?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Should I remind you who designed TPA?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yet collapse buildings is the order of the day? Kwenye mambo ya ujenzi ndio mmeachwa nyuma kuliko kawaida, nyumba za Kenya ni za Tanzania za miaka ya 60s