mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Spana alizokazwa mfungua uzi ni balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Wabongo mnapiga spana sana.
kuna moja inaitwa wheel spanner ndio imetumika hapa[emoji23][emoji23][emoji23].
hasara yake ni kwamba ukitumia kufunga bolt dhaifu unatafuna njia zote,ndicho kimetokea hapa.
watu hawakujua mleta mada anatania[emoji23][emoji23][emoji23].