vampire123
JF-Expert Member
- Apr 17, 2016
- 1,310
- 865
Umeona eh yaani watu walivyoisifia dahHio movie nimeicheki juzi haina mpango wowote, isipokuwa yule mgeni wetu mwanaume wa mkoani alijificha pembeni ya mdigi sijui punga lile dadeki zake.
Ndukiiiii πββοΈπββοΈπββοΈ
yaani ni mbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaayaNdiyo maana nafsi yangu inasita kuicheki. Ngoja niifute hata bila kuitazama
hahahahaa, tafuta The Incredibles 2 , hutajutiaNdiyo maana nafsi yangu inasita kuicheki. Ngoja niifute hata bila kuitazama
Hiyo nishaionahahahahaa, tafuta The Incredibles 2 , hutajutia