THE NUN MOVIE

THE NUN MOVIE

vampire123

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2016
Posts
1,310
Reaction score
865
Katika series zote za conjuring, THE NUN ndo movie pekee niliyokuwa dissapoint nayo, Movie haitishi hata kidogo nimekereka mno wasting my bando.
 
Hio movie nimeicheki juzi haina mpango wowote, isipokuwa yule mgeni wetu mwanaume wa mkoani alijificha pembeni ya mdigi sijui punga lile dadeki zake.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Hio movie nimeicheki juzi haina mpango wowote, isipokuwa yule mgeni wetu mwanaume wa mkoani alijificha pembeni ya mdigi sijui punga lile dadeki zake.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Umeona eh yaani watu walivyoisifia dah
 
Hii movie inahusiana vp na magari mkuu?
 
Hiyo movie jinsi ilivyokuwa inaongelewa nikajua sitolala usiku,.daaah hamna kitu kabisaa hata nsyuka inatisha kuliko hii....

Lakini huku ni gereji mkuu,.
 
Haitishi sana ila inashtua kidogo. Mimi niliangalia mida ya saa 8 iv usiku nilishtukatuka kwel. Afu kama kuna comedy comedy kiasi flani
 
Back
Top Bottom