Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,944
Swali zuri sanaKwa hiyo tufanyeje sasa?
Kunya ukalaleKwa hiyo tufanyeje sasa?
Swali zuri sana
Uchaguzi wa wajaluo wa kenya unatuhusu nini sisi?
Hali ya sintofahamu imeibuka hiv punde katika uwanja wa kasaran nchini Kenya ambapo wanachama wa ODM wanatarajia kuchagua viongoz wao wapya.Hali hiyo imeibuka baada ya kuwa tetesi kwamba kuna mamluki wanataka kuvuruga uchaguz ambapo majina yao hayapo kwenye rejista ya majina ya wanachama.Baada ya hali hiyo askari wa kutuliza ghasia waliingilia kati.
Swali zuri sana
Uchaguzi wa wajaluo wa kenya unatuhusu nini sisi?