The Official Azam FC Thread

kipindi cha pili kinaanza wanaingia
mwaipopo off ngassa on..
 
kumbe na taarab uko fresh kwanini usianze kuimba taarab au kwanini usishabikie taarab!? Maana soka la bongo ni michosho!

na huko tena na weza sasa hivi ngasaa kisha nyamazisha watu..

anapiga tena ngasa ..
 
kipre cheche nje viali ndani azam sub..
 
bocco kustaafu kuichezea timu ya taifa sijui hii imekaaje kisa kuzomewa kuanzia mazoezini hadi uwanjani akiwa na timu ya taifa..

naomba tushauriane kwa hilo?
 
Todays match
game: Azam fc v JKT Ruvu
time: 16:00 PM
Venue: Chamazi stadium

Forza azam fc
 
jeshi la leo: Mwadini Ally, Erasto Nyoni, Waziri
Salum, Aggrey Morris, Said Moradi,
Kipre Bolou, Mrisho Ngasa, Salum
Abubakar, John Bocco, Abdi
Kassim na Kipre Tchetche
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…