Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,501
hizo red mbili zitawacost leo..
kaka matokeo ya mwisho vipi??? nina hamu ya kuwahi bia saa hii maana Arumeru Raha na taifa raha pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizo red mbili zitawacost leo..
Naona mmekuja kutuharibia soka na hela zenu za icecream. Kwa aliyekuwepo uwanjani yule refa ni aibu kwa soka la tz
pole sana mkuu kwa nini mkifungwa lawama mnapeleka kwa refa au ndio excuse yenu kwa mashabiki wenu mwaka huu subirieni mshindi wa tatu..
ninachofhm mimi azam hainamashbk,mashabk wake ni masecretary na wafgia vyoo make wasiofahm mpira ni nn.wengine ni mashbk wakunnua kama nyie mnaolipiwa nauli hd tiketi za uwanjani na bakhresa. Huyo muindi amebkiza jambo moja tu, KUWAFIRA
kona ya pili wanapata azam fc
oya ndetichia inamaana wewe ndio unaipenda sana Azam, maana naona thread yote imejaa comment zako! Yaani muda mwingine unaamua kujijibu mwenyewe, ngojea na mimi nikuunge katika soka la bongo tushabikie wote Azam, au sio! Japokuwa soka la bongo halina mvuto ni bora mjifungie ndani na demu wako mkacheze kidali po kuliko kufuatilia soka la bongo!