The Official Azam FC Thread

The Official Azam FC Thread

Japo mimi ni Yanga, lakin Simba wamenikosha sana leo. Hawa watoto Azam FC walipozifunga Yanga na Simba kwenye Mapinduzi Cup walijiona kweli . . . . eti wanajiendesha kama Ulaya, vyombo vya habari viliwapamba sana . . . . . . Sifa nyiiiiiiiiiiiingi kana mwamba wanacheza kama Barcelona, kumbe ndo kwanza wana Mapinduzi CUP tu . . . . Hili ni ONYO KWAO!!!
Wachezaji wenyewe wa Azam ndo wale wale waliowahi kuzichezea Simba na Yanga, halafu saa hiz ndo wajifanye wanatawala soka la bongo kiurahisi-rahis hivyo!!! Bado sanaaaaaaa . . . . .
 
Mkuu unawaongezea msiba! Ingetosha tu kuwapa pole kwa leo.
 
  • Thanks
Reactions: CPU

Mkuu CPU upo? kweli azam walizidi sana, inabidi na nyie muwakandamize mechi ijayo, hapo kidogo watakuwa na heshima.
 
Mkuu, wajifunze kuwa mpira sio kuwa na Uwanja wa klabu na mabasi ya mikoani . . . . . . Ile Mapinduzi Cup iliwafanya waropoke eti wana uwezo wa kuzifunga timu zote za Ukanda wa East Afrika . . . . . Japo haina mashabiki kama Simba na Yanga lakin hao wachache waliopo walipiga sana domo. Wanasahau zilikuwepo timu nyingi za kumilikiwa na makampuni kama Pamba, Sigara, Reli, n.k na zilitoa changamoto sana kwa Yanga na Simba . .. . . lakin ziko wapi sasa??
Mtibwa wameshachukua ubingwa wa Bara mara 2 lakin hawana domo kama wao, sasa wenyewe wana mapinduzi Cup tu, midomo mireeeeeeeeeeeeeeeeeefu. Na bado . . . . .
 
Mkuu, hawana nidhamu hawa watoto wa kuoka mikate, hawana hata ubingwa wa Bara wanatupigia kelele? Hapa natamani mechi ijayo ndo tuwe tunacheza nayo . . . .
 
nani kisha kikalia kati ya hawa mapuga wawili tupw result
 
Mkuu, wajifunze kuwa mpira sio kuwa na Uwanja wa klabu na mabasi ya mikoani . . . . . . Ile Mapinduzi Cup iliwafanya waropoke eti wana uwezo wa kuzifunga timu zote za Ukanda wa East Afrika . . . . . Japo haina mashabiki kama Simba na Yanga lakin hao wachache waliopo walipiga sana domo. Wanasahau zilikuwepo timu nyingi za kumilikiwa na makampuni kama Pamba, Sigara, Reli, n.k na zilitoa changamoto sana kwa Yanga na Simba . .. . . lakin ziko wapi sasa??
Mtibwa wameshachukua ubingwa wa Bara mara 2 lakin hawana domo kama wao, sasa wenyewe wana mapinduzi Cup tu, midomo mireeeeeeeeeeeeeeeeeefu. Na bado . . . . .

Ha ha ha haaa...!!!! Ndetichia atatoa majibu baadaye.
 
nakusubiri CPU sio kwamba simba katufunga na nyie mtashinda lazima tuwape kichapo tu..
 
Ha ha ha haaa...!!!! Ndetichia atatoa majibu baadaye.

mkuu kombo hakuna kitu kizuri kama kuwafunga wazee wa ligi kwa hiyo full mi raha na tatizo watoto waliwapania mno sasa matokeo yake full majonzi tu ila ndo mpira
 
baada ya kushushiwa kisago cha mbili bila naona wampatia dozi ya moja bila mafunzo ya pemba katika mechi yao ya kirafiki na azam fc mnanmo tarehe 13 FEB..

goli ni la J Bocco..
 
leo uwanjani
azam fc 4 - 1 villa baada ya kufungwa na simba waishushia kisago cha kufa mtu..
 
[h=1]Azam FC yaendelea na mazoezi kujiandaa na mzunguko wa 19 VPL[/h]

azam%20151.jpg

Timu ya Azam FC imeendelea na mazoezi kuejega mwili na mbinu ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya mechi zilizobaki za ligi kuu.
Mazoezi yamefanyika katika uwanja wa Azam Chamazi jijini Dar es Salaam kujumuisha wachezaji wote isipokuwa wale walioitwa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'.
Wakiwa katika mazoezi hayo beki Joseph Owino alijumuika na kikosi hicho kwa mazoezi ya kuimarisha mwili 'fitness', huku mchezaji Abdulghan Gulam akifanya mazoezi na timu ndogo kutokana na kupona jeraha la mguuni.
Wachezaji wengine walifanya mazoezi yote mbinu na kuimarisha mwili Gym kwa muda wa masaa mawili na nusu, Gulam ataanza mazoezi na kikosi hicho kesho asubuhi.
Akielezea umuhimu wa mazoezi hayo kocha Stewart Hall amesema kwa kipindi hiki wanatakiwa kufanya mazoezi hayo kwa kuwa hakuna mechi karibuni hivyo miili yao inatakiwa ijengeke zaidi.
Alisema wakifanya mazoezi hiyo kwa muda wa wiki mbili watakuwa na miili imara itakayowasaidia kumalizia vyema mechi za ligi kuu zilizobaki.
Stewart aliongeza kuwa wachezaji watafanya mazoezi ya aina hiyo kwa wiki mbili na kuendelea na mazoezi ya kawaida kwa ajili ya mechi.
Kocha amesema siku ya Alhamis ya wiki hii atasafiri kuelekea nchini Uingereza kusalimia familia yake, wakati huo timu itakuwa chini ya kocha wa Azam Academy, Vivek Nagul akishirikiana na kocha msaidizi Kaly Ongala.
Stewart atarejea nchini Machi 1, na kufanaya mazoezi na timu Machi 2 kabla ya kuweka kambi Maci 3 kwa ajili ya mechi dhidi ya Coastal Union itakayochezwa Machi 7 kwenye uwanja huohuo.
Wachezaji waliohudhuria mazoezini ni golikipa Aishi Mfula, Erasto Nyoni, Abdulhalim Humud, Said Morad, Michael na Tchetche Kipre, Ibrahim Shikanda, Zahor Pazi, Hamis Mcha, Ibrahim Mwaipopo, Himid Mao, Ghulam Abdallah, na Joseph Owino.
Jabir Aziz hakuudhuria mazoezini kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya tumbo, wachezai walioitwa timu ya taifa ni Mwadini Ally, Agrey Morris, Salum Aboubakar, John Bocco, Mrisho Ngasa Waziri Salum na Abdi Kassim.
 
Back
Top Bottom