CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,858
- 687
ManU 2 - Liv 1. Game imekwisha.
Wanazi wa Azam FC mpo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ManU 2 - Liv 1. Game imekwisha.
moradi kauumia anawaishwa hospitali..
Japo mimi ni Yanga, lakin Simba wamenikosha sana leo. Hawa watoto Azam FC walipozifunga Yanga na Simba kwenye Mapinduzi Cup walijiona kweli . . . . eti wanajiendesha kama Ulaya, vyombo vya habari viliwapamba sana . . . . . . Sifa nyiiiiiiiiiiiingi kana mwamba wanacheza kama Barcelona, kumbe ndo kwanza wana Mapinduzi CUP tu . . . . Hili ni ONYO KWAO!!!
Wachezaji wenyewe wa Azam ndo wale wale waliowahi kuzichezea Simba na Yanga, halafu saa hiz ndo wajifanye wanatawala soka la bongo kiurahisi-rahis hivyo!!! Bado sanaaaaaaa . . . . .
FT azam fc leo kama looserfool..

Mkuu unawaongezea msiba! Ingetosha tu kuwapa pole kwa leo.
Mkuu CPU upo? kweli azam walizidi sana, inabidi na nyie muwakandamize mechi ijayo, hapo kidogo watakuwa na heshima.
Mkuu, wajifunze kuwa mpira sio kuwa na Uwanja wa klabu na mabasi ya mikoani . . . . . . Ile Mapinduzi Cup iliwafanya waropoke eti wana uwezo wa kuzifunga timu zote za Ukanda wa East Afrika . . . . . Japo haina mashabiki kama Simba na Yanga lakin hao wachache waliopo walipiga sana domo. Wanasahau zilikuwepo timu nyingi za kumilikiwa na makampuni kama Pamba, Sigara, Reli, n.k na zilitoa changamoto sana kwa Yanga na Simba . .. . . lakin ziko wapi sasa??
Mtibwa wameshachukua ubingwa wa Bara mara 2 lakin hawana domo kama wao, sasa wenyewe wana mapinduzi Cup tu, midomo mireeeeeeeeeeeeeeeeeefu. Na bado . . . . .