The Official Azam FC Thread

The Official Azam FC Thread

sasa viingilio ni jukumu la TFF wao ndio wanapanga sie wengine ni wafuataji tu gharama ni kama zifuatazo:-

mzunguko ni TZS 1,000 badala ya TZS 3,000
jukwaa kuu ni TZS 5,000 badala ya TZS 10,000

Karibuni Sana Azam Stadium, Chamazi
 
leo uwanjani
game: simba sc v azam fc
muda: 16:00 PM
venue: U/Taifa

viva la azam fc
 
Ndetichia: leteni hayo matokeo saa 10 tayari bilashaka uko uwanjani.
 
Simba 2 Azam 0. Emmanuel Okwi tena ! Dakika kama ya 23 hivi kipindi cha pili.
 
Back
Top Bottom