The Official Azam FC Thread

KUNDI B
B1 Super Falcon FC
B2 Azam FC
B3 Mtibwa Sugar FC
B4 Polisi Moro FC

Agosti 5, 2012
Super Falcon FC vs Azam FC (Saa 2:00 usiku, Zanzibar)
Mtibwa Sugar FC vs Polisi Moro FC (Saa 10:00 jioni, Arusha)
Agosti 9, 2012
Azam FC vs Mtibwa Sugar FC (Saa 10:00 jioni, Dar es Salaam)
Polisi Moro FC vs Super Falcon FC (Saa 10:00 jioni, Mwanza)
Agosti 12, 2012
Super Falcon FC vs Mtibwa Sigar FC (Saa 2:00 usiku, Zanzibar)
Azam FC vs Polisi Moro FC (Saa10:00 jioni, Arusha)
 
[h=6]Azam FC imeingia mkataba wa miaka miwili na kocha Boris Bunjak toka Serbia
CV ya kocha Boris inapatikana hapa chini

FUDBALSKI SAVEZ SRBIJE FA PRO COACHING AWARD
FOOTBALL ASSOCIATION OF SERBIA UEFA PRO DIPLOMA
Adressa: Terazije 35 – Belgrade
Phone : +381 11 3246208



BORIS BUNJAK
Born : 17.11.1954.
Nationality : Serbian
Position : Coach
Languages : English , Rusian , Serbian
Current address : Kraljevo 36000 Veljka Vlahovica 33/15
Serbia
Contact : Serbian mob : +38163 776 44 88
Home number + fax : +38136 322 735
E-mail : bbunjak@yahoo.com
Facebook : Boris Bunjak
www.borisbunjakcoach.com
Education : Higher coach of football
UEFA – PRO LICENCE
Coaching career : 2011 FC „DAMAC" SAUDI ARABIA- HEAD COACH
2011- FC „ AL NASER" OMAN – HEAD COACH
2009-10 FC „ AL OROUBA" OMAN – HEAD COACH
2008-09 FC „ ALL SHAAB" UNITED ARAB EMIRATES –
TECHNICAL SUPERVISOR
2007-08 FC „ ALL SHAAB" UNITED ARAB EMIRATES – HEAD
COACH
2006-07 FC „ AL NASER" OMAN – HEAD COACH
2005-06 FK „ HAJDUK" Kula – HEAD COACH
2004-05 FC „ALL SHAAB" UNITED ARAB EMIRATES – FIRST
TEAM COACH
2002-04 FK „CRVENA ZVEZDA" Beograd – FIRST TEAM COACH
2000-02 FK „ MLADI RADNIK" Pozarevac - HEAD COACH
1999-00 FK „ URALAN" Russia - HEAD COACH
1998-99 FK „ RADNICKI" Nis - HEAD COACH
1996-97 FK „ CRVENA ZVEZDA" Gnjilane - HEAD COACH
1995-96 FK „JAVOR" Ivanjica - HEAD COACH
1993-94 INSTRUCTOR IN FA of Yugoslavia
1990-93 FK „ SLOGA" Kraljevo – HEAD COACH
Playing career :
1967-75 FK „SLOGA" Kraljevo
1975-78 FK „VOZDOVAC" Beograd
1978-79 FK „RADNICKI" Kragujevac
1979-80 FK „ OLIMPIA" Ljubljana
1980-81 FK „ SUMADIJA" Arandjelovac
1981-85 FK „SLOGA" Kraljevo
1985-86 FK „BORAC" Cacak
1986-90 FK „ SLOGA" Kraljevo


[/h]
 

19


Forward
[TABLE="class: stats statsbox"]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Birth[/TH]
[TD]Sat, 1989-08-05[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Height[/TH]
[TD]1.9M[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Nationality[/TH]
[TD]Tanzania[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Weight[/TH]
[TD]76[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="colspan: 2"]Former Club[/TH]
[TD]KijitoNyama FC[/TD]
[/TR]
[/TABLE]






A towering prolific striker has spent all his life in Tanzania premiership with Azam FC, which in deed has natured his talent since joining us in 2007 from lower division club, Kijitonyama FC
The 2012/12 Top Goal Score with Vodacom Premier League record of 19 goals was named as Clus's best player of the year
Bocco, a little bit slim but very strong with great pace has proved to be sharp by making himself available at right places in front of the goal and attend to various ball passed to him and score relentlessly. He is a top Azam scorer of all time.
In his and Azam's first premier league season of 2008/2009 Bocco scored nine goals, then he went on to score 13 goals in the second season of 2009/10 record that he repeated in season 2010/11
John Bocco has as well spent some weeks on trial with Israel premier league side, Apoel Tel- Viv but the deal could not go through in 2010.
For some year Bocco has been a member of the national team Taifa Stars, to which he has gave the needed contribution whenever his services are required.
Season 2011/2012 will always be memorable to him after scoring 19 goals breaking Boniface Ambani from Yanga who score 18 goars season 2009/2010.
Bocco was also named as finalist contestant of the Tanzania Player of The Year Award given by Sports Journalist Associastion of Tanzania, Finalist of Vodacom Premier League Best player of the Year and Clubs Best Player of the Year
 
Azam FC inapenda kuwataarifu Mashabiki wake wote kuwa Hakuna Shaka wala Mushkeli (kisheria PASI-NASHAKA) kwenye mkataba na usajili wa Ramadhan Chombo Redondo.
Kikosi cha wachezaji 30 tuliowasajili msimu ujao ni kama waliopo hapa chini


1 MWADINI Ally
2 NUHU Samih
3 MWAIPOPO Ibrahim
4 KAKOLAKI Luckson
5 NYONI Erasto
6 ODHIAMBO George
7 SALUM Abubakar
8 ZAHORO Pazi
9 KIPRE-TCHETCHE
10 MWAIKIMBA Gaudence
11 OWINO Josph
12 AGGREY Morris
13 GHULAM Abdallah
14 MORADI Said
15 Omary Mtaki
16 CHOMBO Ramadhan
17 FRED Cosmas
18 BOCCO John
19 KASSIM Abdi
20 SHIKANDA Ibrahim
21 MCHA KHamis
22 HIMID Mao
23 HUMUD Abdulhalim
24 JABIR Aziz
25 WAZIRI Salum
26 KIPRE-BOLOU
27 MUNISHI Deogratius
28 IBRAHIM Rajab
29 Sunday Frank
30 WANDWI Jauckson
 
Azam yalala 2 bila dhidi ya mtibwa sukari
 
JB19 huyoooo sauz leo kachukua PAA kwenda huko bondeni kwa babu madiba kufanya majaribio na Suprsport United
 
matokeo ya leo super 8
Azam FC 1 - 2 Simba SC
 
bocco karudi baada ya azam kugoma kumtoa kwa mkopo..
 
Baada ya wiki iliyopita kuifunga Transit Camp 8-0, Jana Azam FC iliifunga Tanzania Prisons 1-0 goli likifungwa na Ibrahim Mwaipopo katika dakika ya 34 Mshabuliaji John Bocco ambaye alianza na Papi (Mkongo aliye kwenye majaribio na baadaye kuwapisha Kipre Tchetche na Gaudence Mwaikimba wote walicheza vizuri sana katika mechi hiyo licha ya kushindwa kufunga kutokana na kukusa bahati
Katika mchezo wa Jana Prisons ilifanya shambulizi moja tuu, lakini Azam FC muda wote walikuwa kwenye lango la Prisons
Viungo Abdi Kassim, Jabir Aziz, Abdulhalim Humud na Ibrahim Mwaipopo walitawala sehemu ya kiungo na kuwachanganya maadui. Kila mmoja wao alipata nafasi ya kupiga mashuti golini mwa adui ingawa mipira yao ilipaa au kuokolewa na kipa wa Prisons
Katika Mchezo wa Jana Abdulhalim Humud ndiye aliyekuwa nyota wa mchezo
Azam FC ilikwakilishwa na Deogratius Munishi, Ibrahim Shikanda, Aggrey Morris, Said Moradi, Erasto Nyoni/Waziri Salum, Abdulhalim Humud, Jabir Aziz/Himid Mao Abdi Kassim, Ibrahim Mwaipopo/Kipre Bolou, John Bocco/Kipre Tchetche, Papi/Mwaikimba
 
[h=3]MAJMBE YAKO TEYARI KUWAKABILI SIMBA SEP11[/h]

Mwaipopo
Na Princess Asia

VIUNGO wawili tegemeo wa Azam FC na ambao hivi sasa wako juu ile mbaya kimchezo, Ibrahim Mwaipopo na Salum Abubakar ‘Sure Boy Jr.' sasa wanaendelea vizuri na kuna matumaini wakawa fiti kwa mechi ya Ngao ya Jamii, Septemba 11 dhidi ya Simba, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.


Viungo hao wamekwishaanza mazoezi mepesi, wakiongozwa na daktari wa timu hiyo, Dk Mwanandi Mwankemwa kuanzia gym hadi uwanjani. Dk. Mwanandi anasema wachezaji hao hali zao zinatia matumaini kwa sasa na wataendelea kuwaangalia hadi mwishoni mwa wiki ili kujua maendeleo yao.


Viungo hao tegemeo hakuwemo kwenye mechi ya kirafiki Jumapili dhidi ya Coastal Union ya Tanga, kwenye Uwanja wa Chamazi, kujiandaa na mechi hiyo dhidi ya Simba.


Katika mechi hiyo iliyokuwa tamu, mabao mawili ya John Raphael Bocco ‘Adebayor' katika dakika za 15 na 44, yaliipa Azam FC ushindi wa mabao 2-0 Uwanja wa Chamazi.


Bocco alikuwa mwiba mchungu kweli siku hiyo kwa safu ya ulinzi ya Coastal, kwani pamoja kufunga mawili, lakini alikosa mabao matatu ya wazi mno katika mechi ambayo, kiungo Abdulhalim Humud alitolewa nje kwa kadi nyekundu dakika ya 32 kwa rafu na lugha chafu.


Hiyo ni mechi ya tano Coastal inafungwa kati ya sita za kujipima nguvu ilizocheza kabla ya Jumamosi kufungwa 2-1 na Yanga, awali ilifungwa 3-2 na Bandari mjini Mombassa, baadaye 2-0 Tanga, ilifungwa 2-1 na Polisi mjini Morogoro na yenyewe iliifunga JKT Oljoro 1-0.


Kwa Azam hiyo ni mechi ya tatu mfululizo ya kujipima nguvu wanashinda, awali walizifunga 1-0 Prisons ya Mbeya na Transit Camp 8-0.


Azam inatarajiwa kuivaa Simba katika mechi ya Ngao ya Jamii ya kuashiria kufunguliwa kwa pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Septemba 11, mwaka huu, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ikiwa ni mchezo wake wa kwanza katika historia ya Ngao hiyo.
Kihistoria hiyo itakuwa mechi ya tano ya Ngao ya Jamii kuchezwa nchini na ya pili kuishirikisha timu nje ya wapinzani wa jadi wa soka ya Tanzania, Simba na Yanga.


Mtibwa ilicheza na Yanga mwaka 2009, baada ya Simba kugoma na ikashinda mabao 2-1 na kutwaa Ngao, wakati kabla ya hapo, mwaka 2001, Ligi Kuu ya Tanzania ikiwa bado inadhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kupitia bia ya Safari Lager, ilichezwa mechi ya kwanza ya Ngao kihistoria.







Katika mechi hiyo, Yanga ilishinda mabao 2-1 dhidi ya Simba na mwaka juzi Yanga iliifunga tena Simba kwa penali 3-1 kufuatia sare ya 0-0 na mwaka jana, Simba ilitwaa Ngao ya kwanza katika historia yake, kwa kuifunga Yanga mabao 2-0.


Ikumbukwe mara ya mwisho Simba SC ilipokutana na Azam FC, katika Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame mwezi uliopita Dar es Salaam, ilifungwa mabao 3-1, yote yakifungwa na Bocco na lile la kufutia machozi kwa wekundu hao Msimbazi liliwekwa kimiani na beki mahiri Shomari Kapombe, aliyemajeruhi kwa sasa.
 
[h=3]MKATABA WA REDONDO WAUZWA SIMBA KWA MIL25[/h]


Azam FC imefikia uwamuzi wa kumuachia kiungo mchezeshaji Ramadhani Chombo 'Redondo' kujiunga na Simba SC, baada ya Simba SC kukubalia kutoa shilingi milion 25 kununua mkataba wa Redondo.

Mseamaji wa Azam FC Jafari Iddi Maganga amesema kuwa Simba SC wamekubalia kutoa kitita hicho cha pesa kwa awamu, ambapo wametanguliza milioni 10 na 15 zingine zitakamilika katika mchezo wa ngao ya jamii.

Kutokana na kufikia maelewano hayo Azam FC wanatarajia kufuta pingamizi walilo liweka kupinga Redondo kujumushwa katika usajili wa Simba SC wakati akiwa na mkataba na Azam FC, hivyo Redondo kuwa huru kukipiga na Simba SC.
 
mpaka sasa Matokeo ya Community Shield

Azam FC 2 - 0 Simba SC
 
FT Azam FC 2 - 3 Simba SC poor perfomance cost us and the rating also...
 
RATIBA
08/09/12
Ngao ya jami; SIMBA SC 3-2 AZAM FC, U/Taifa

15/09/12
VPL; KAGERA SUGAR Vs AZAM FC, Kaitaba

19/09/12
VPL; TOTO AFRICANS Vs AZAM FC, CCM Kirumba

22/09/12
VPL; AZAM FC Vs MTIBWA SUGAR, U/Azam

28/09/12
VPL; AZAM FC Vs JKT RUVU, U/Azam

06/10/12
VPL; AFRICAN LYON Vs AZAM FC, U/Azam

13/10/12
VPL; POLISI MOROGORO Vs AZAM FC, Jamhuri Moro

17/10/12
VPL; T.PRISONS Vs AZAM FC, Sokoine

24/10/12
VPL; AZAM FC Vs RUVU SHOOTING, U/Azam

27/10/12
VPL; SIMBA SC Vs AZAM FC,U/Taifa

01/11/12
VPL; AZAM FC Vs COASTAL UNION, U/Azam

04/11/12
VPL; AZAM FC Vs YANGA, U/Taifa

07/11/12
VPL; AZAM FC Vs JKT OLJORO, U/Azam

10/11/12
VPL; MGAMBO SHOOTING Vs AZAM FC, Mkwakwani


NB: Inaweza badilika
 
Hivi kweli kuna washabiki wa Azam, au watu wanafuata deiwaka wapate hela?
 
Leo Mchezoni

Kagera sugar v Azam FC

Kaitaba Stadium
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…