The Official Azam FC Thread

What Players says:

"Tutaendeleza ushindi kama tulivyoanza kwenye ligi, naamini sisi tupo vizuri kila idara kikubwa tuombe uzima tu kila kitu kitakuwa sawa" anasema Waziri Salum (kushoto).

"Tuna matumaini makubwa ya kufanya vizuri, tutatumia mchezo huu wa nyumbani kupata matokeo mazuri yatakayotuweka katika nafasi ya kuingia hatua ya pili, watanzania wazidi kutuombea" anasema golikipa Aishi Salum (kulia)

 
[h=5]What Players says:
"Nimefurahi timu kupata mafanikio makubwa kama hayo nikiwa mmoja wa waliochangia, kwetu itakuwa mechi ngumu lakini tunaamini kwa maandalizi haya tuliyopata ushindi lazima" anasema Bocco.[/h]
 
Tuko pamoja mkuu! Ikibidi kama kawaida unatupatia matokeo na cc tulio mbali, maana hilo ndio chama langu. Tangu nihame Yanga miaka miwili ilio pita, cjapata bahat ya kuwaangalia vijana live, kwakua niko mbali kidogo, kwahiyo naomba niangushie matokeo mkuu nita kua nafuatilia kupitia hapa. Ila ingekua mali kama tunge fuatilia kupitia post nyingine
 

karibu sana chamazi...
 
azam gooooooooooooooooooooooooooooo abdi kasim babi..
 
naona wasudan walitaka kufanya fyongo..
 
al nasr player namba 11 booked yellow
 
jabir aziz kapewa kadi hapa ya njano..

half time Azam 1 - 1 Al nasir
 
kuanza na kuanza watu wanalala duu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…