Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko pamoja mkuu! Ikibidi kama kawaida unatupatia matokeo na cc tulio mbali, maana hilo ndio chama langu. Tangu nihame Yanga miaka miwili ilio pita, cjapata bahat ya kuwaangalia vijana live, kwakua niko mbali kidogo, kwahiyo naomba niangushie matokeo mkuu nita kua nafuatilia kupitia hapa. Ila ingekua mali kama tunge fuatilia kupitia post nyingine
Tuhabarishe mkuu...mpira umeanza..
huko ndio nyumbanikaribu sana chamazi...