The Official Azam FC Thread

FT Azam 3 - 1 Al Nasr Babi 1 Kipre KC10 2 na Elias wa al nasr..
 
Huu mtindo wa kununua marefa na wachezaji wa team pinzani katika mechi za ligi yetu ya ndani zitatufanya tuendelee kuwa vichekesho kwenye michuano ya kimataifa mpaka hapo tutakapobadilika
 
Huu mtindo wa kununua marefa
na wachezaji wa team pinzani katika mechi za ligi yetu ya ndani
zitatufanya tuendelee kuwa vichekesho kwenye michuano ya kimataifa mpaka
hapo tutakapobadilika
Kivipi mkuu azam wamezingua?
 
hongera azam, aibu yao yanga na washabiki wao waliokuwa wakiwashangilia wanubi wa south sudan
 
Kivipi mkuu azam wamezingua?

Wanashinda 4 mbele ya team ngumu na kupata ushindi wa taabu(washukuru magoli mawili ya dk za lala salama) kwa team chovu inayoshiriki mashindano ya kimataifa kwa mara kwanza,hii binafsi imegoma kabisa kuniingia akilini
 
Wanashinda 4 mbele ya team ngumu na kupata ushindi wa taabu(washukuru magoli mawili ya dk za lala salama) kwa team chovu inayoshiriki mashindano ya kimataifa kwa mara kwanza,hii binafsi imegoma kabisa kuniingia akilini

kaka mtibwa tunaijua hawa wa sudan hatuwajui ndio maana ikawa hivyo na kingine kocha alipagawa baada ya umony na balou kuumia ndio akawa hajui nini afanye ila huyu Babi ingawa kashinda goli la kwanza ni mzito sana ila bocco alipo ingia ndio kabadili mchezo kabisa..
 
Azam FC TV Show ktk Channel 10
Uongozi wa Azam FC unaelezea mafanikio ya siku hizi za karibuni kupitia kwa Meneja Msaidizi Kalimangonga Ongala na lengo ni kunyakua ubingwa wa ligi ya Tanzania Bara 2012/2013 na mahojiano maalum na mchezaji John Bocco a.k.a Adebayor:

Source: AZAM TV EPS 18 Antony John wa youtube

TASWIRA KAMILI YA UWANJA WA TIMU YA AZAM FC ULIOPO ENEO LA CHAMAZI WILAYANI TEMEKE, DAR-ES- SALAAM, TANZANIA
  • pitch uwanja
  • bwawa la kuogelea
  • gym
  • Na miundo-mbinu mingine inayosapoti complex za viwanja vya michezo

Source: Antony John wa youtube
 
Last edited by a moderator:
azam fc 2 - 0 jkt ruvu jb19 make two for azam
 
FT Azam fc 4 - 0 jkt ruvu khamis mcha 2 bocco 1 na babi 1
 
leo Azam FC na Al Nasri Juba kurushwa live star tv kwa wale wa DStv ni chaneli 291 na kwa wale wa startimes ipo 112 kama sikosei stay tuned

God bless Azam God bless Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…