Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi mkuu azam wamezingua?Huu mtindo wa kununua marefa
na wachezaji wa team pinzani katika mechi za ligi yetu ya ndani
zitatufanya tuendelee kuwa vichekesho kwenye michuano ya kimataifa mpaka
hapo tutakapobadilika
Kivipi mkuu azam wamezingua?
Wanashinda 4 mbele ya team ngumu na kupata ushindi wa taabu(washukuru magoli mawili ya dk za lala salama) kwa team chovu inayoshiriki mashindano ya kimataifa kwa mara kwanza,hii binafsi imegoma kabisa kuniingia akilini