Kilakshari
JF-Expert Member
- Dec 13, 2008
- 350
- 20
Hongera zao Azam, goli la ugenini ni muhimu sna katika mashindano kama haya.Dk 70 barrack 1 - 1 azam
Nani kafunga? Boko?goooooooooooo azam inapata goli la pili..
Hongera Azam FC kwa kuibeba bendera ya Tanzania na pia kuipatia heshima Afrika Mashariki katika mashindano ya kimataifa kutokana na timu zingine kubwa za Afrika ya mashariki kufanya vibaya katika mashindano ya kimataifa barani Afrika
Nasikia Mheshimiwa anaenda kuzindua uwanja wenu leo huko Chamazi na kuweka jiwe la msingi kwenye uwanja mwingine unaojengwa karibu na utakaozinduliwa leo.
Najiuliza sana sijui ataenda lini Boko japo kuweka hata jiwe la msingi tu kwenye uwanja wetu. Da haya maisha ya hizi timu tunazozishabikia yana shida sana.
Allymsela,
Shukrani kwa kuweka vitu youtube ila ungefanya maboresho kidogo ili ku-search video clip husika kuwa rahisi mfano heading ya AZAM FC TV Eps 22 kuwa AZAM FC TV Eps 22 Azam match in South Sudan au kama Azam imecheza na Yanga basi Azam Fc Tv Eps 22 Azam vs Yanga
Mkuu Allysela,
inakuwa 'user friendly' kama uploads zako katika youtube ungekuwa unaongezea heading zake kuwa AZAM FC TV 24 match Azam vs BYCII Liberia na clip hiyo itaonekana kwa 'search' kirahisi toka kwa washabiki Tanzania na ughaibuni
RIPOTI KAMILI IKIRUSHWA NA AZAM FC TV KUHUSU YALIYOJIRI HUKO MONROVIA, LIBERIA AMBAKO AZAM FC ILIIBUKA NA USHINDI WA MABAO 2- 1 DHINI YA BYCII LIBERIA:
- mashabiki wanasemaje
- viongozi na mipango
- wachezaji malengo yao
- ni mpira tu hakuna majungu wala nini
SOURC: ALLYSELA AZAM FC TV