The Official Azam FC Thread

Full Time azam fc tumeuwa kumbe kideo ni raha sana hakuna zengwe lazima kieleweke..

Forza azam fc
 
Full Time azam fc tumeuwa kumbe kideo ni raha sana hakuna zengwe lazima kieleweke..

Forza azam fc
Ndetichia,
Pamoja sana, shukrani kwa updates na ushiriki wetu kimataifa unazidi kunukia.
 
Hali halisi jinsi Wachezaji wa Azam Fc club wakitumia vifaa vya mazoezi ktk Gym yao Chamazi Sports Complex chini ya uangalizi wa makocha wao ili kuweza kuwa katika hali nzuri ya Bongostaz.blogspot.co.uk
 
MICHEZO ILIYOSALIA KWA AZAM KATIKA VPL

Aprili 10: AZAM FC Vs African Lyon (Azam Complex, Chamazi)
Aprili 13: AZAM FC Vs Simba SC (Taifa, Dar)
Aprili 27: AZAM FC Vs Coastal Union (Mkwakwani, Tanga)
Mei 11: AZAM FC Vs Mgambo JKT (Azam Complex, Chamazi)
Mei 18: AZAM FC Vs JKT Oljoro (S.A. Abeid, Arusha) --

MSUNI COMPUTER SOLUTION (Tunarejesha uhai wa computer) www.aboodmsuni21.blogspot.com/p/msuni- computer-solution_7934.html
[+255 657 184 421]
 
April 2, 2013
Dar-es-Salaam, Tanzania.

Wakati Barack YC II ya Liberia ikiwasili leo jijini Dar-es-Salaam Aprili 2, 2013 asubuhi, Azam fc wameanza maandalizi ya mchezo wa kombe la shirikisho dhidi ya Barack leo asubuhi, baada ya wachezaji kupata mapumziko ya siku 2 ya sikukuu ya Pasaka.
Azam na Barack YC watakabiliana jumamosi ya April 6, 2013 saa kumi na nusu jioni katika uwanja wa taifa jijiini Dar -es- Salaam.


Pichani: Wachezaji wa timu ya Azam FC wakiendelea na mazoezi katika uwanja wao wa Chamazi Sports Complex jijini Dar-es-Salaam. Habari na picha kwa hisani ya : Azam Fans Club & ABOODMSUNI NETWORK
 
Humud kafudhu majaribio huko south africa katika timu ya Jomo cosmos.. kila la kheri gaucho humud
 
ni jumamosi na kama upo dar basi watachezea taifa na kama upo mbali basi tune to star tv au kiss fm.. You are warmly welcome..

Ndetichia,
Asante mkuu kwa feedback ya pambano lijalo la jumamosi April 06, 2013 jijini Dar-es-Salaam kati ya Azam Fc vs Baracks YC II .
 
Azam FC inaendelea vizuri na maandalizi ya mchezo wake dhidi ya BYC II, Leo itafanya mazoezi uwanja wa Taifa ili kuuzoea, BYC II nao jana walifanya mazoezi uwanja wa Azam Complex.
 
Wachezaji 11 wa Azam Academy wameteuliwa kujiunga na timu ya Taifa. Walioteuliwa ni
AISHI MANULA-HAMAD JUMA-
ISMAIL ADAM GAMBO-
MOHAMED SHABALALA-MGAYA ABDUL-
MUDATHIR YAHYA-FARID MUSA-
JOSEPH KIMWAGA-DISMAS YUSHI-
BRYSON-REYNA MGUNGILA

Vizuri kwa uteuzi huu ndio mkaze vijana bado mnahitajika na taifa letu..

Forza AzamFC

#VitendoDhidiyaManeno
 
Ndetichia ,
Asante kwa taarifa nzuri kuwa Azam inazidi kutisha timu 'kongwe' kwa mipango na uwekezaji mzuri katka sekta ya football , Azam vitendo zaidi ndo maana vijana hao 11 wanaitwa timu ya Taifa.
 
Ndetichia ,
Asante kwa taarifa nzuri kuwa Azam inazidi kutisha timu 'kongwe' kwa mipango na uwekezaji mzuri katka sekta ya football , Azam vitendo zaidi ndo maana vijana hao 11 wanaitwa timu ya Taifa.

kesho taifa kama kawa tunafukuza mwizi kimya kimya..
 
[h=3]KIINGILIO AZAM Vs BYC NI TSH 2000.[/h]
viingilio vya mchezo kati ya AZAM FC Vs BARACK YC II wa kombe la shirikisho siku ya jumamosi saa 10 na nusu jioni ni:VITI VYA KIJANI NA BLUE - Tsh 2000
VITI VYA MANJUNGWA - Tsh 5000
VIP B & C - Tsh 10000
VIP A - Tsh 20000
 
on the way to taifa kushuhudia vijana wakijitupa uwanjani..
 
Kikosi cha leo;

MWADINI ALI
HIMIDI MAO WAZIRI SALUM JOCKINS ATUDO DAVID MWANTIKA MICHAEL BOLOU KIPRE TCHETCHE SALUM ABUBAKAR JOHN BOCCO(C) HUMPHREY MIENO
BRIAN UMONY

AKIBA

AISHI SALUM
UHURU SELEMANI
ABDI KASSIM
LUCKSON KAKOLAKI
MCHA KHAMISI
IBRAHIM MWAIPOPO
JABIR AZIZ
 
Mkuu tuko pamoja ktk kufukuza/kuuwa mwizi huyoo. Endelea kutujuza kinacho endelea hapo uwanjani.
 

Mechi inaanza saa ngapi? Naombea mshinde hii mechi ya leo ila mechi za ligi zilizobaki mfungwe zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…