The Official Azam FC Thread

Half time: Azam 0 - 0 BYC
kwa upande wa Azam FC mabadiliko ni muhimu kwa upande wa Ushambuliaji ikiwezekana ata kiungo: lkn pia na Kocha inabidi abadilishe mfumo wa uchezaji vinginevyo hawa BYC watapata kiburi.
 
kwa upande wa Azam FC mabadiliko ni muhimu kwa upande wa Ushambuliaji ikiwezekana ata kiungo: lkn pia na Kocha inabidi abadilishe mfumo wa uchezaji vinginevyo hawa BYC watapata kiburi.

kweli kabisa mkuu na hapa umony out mcha hamis in ilikuongeza mashambulizi..
 
kipindi cha pili kimeanza

azam 0 - 0 byc
 
kuna dogo kakabiziwa sure boy hatari tupu..
yaani hata kutembea hawezi huyu dogo ni namba 3 mgongoni..
 
John Bocco....inatakiwa aongeze ukali na nguvu, kuna mipira inamfikia anashindwa kuitumia ipasavyo.
 
kipindi cha pili
kona
azam 1 byc 0
 
kuna dogo kakabiziwa sure boy hatari tupu..
yaani hata kutembea hawezi huyu dogo ni namba 3 mgongoni..
hakika huyu dogo jinsi anaonekana anajua wajibu wake-na ndo maana akipatikana mtu kama Babi pale wanaweza kumpoteza huyu dogo,
 
kipreeeeeee utamuua kipa wawatu hapa..
 
hizi yala yala mpaka tushachoka..
 
....ndetichia, hongera: ngoja tusubirie ngwe nyingine kati ya timu kutoka Morocco au ........
 
Flop of the match

B umony na bocco magoli mengi sana wamekosa kizembe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…