Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa upande wa Azam FC mabadiliko ni muhimu kwa upande wa Ushambuliaji ikiwezekana ata kiungo: lkn pia na Kocha inabidi abadilishe mfumo wa uchezaji vinginevyo hawa BYC watapata kiburi.Half time: Azam 0 - 0 BYC
kwa upande wa Azam FC mabadiliko ni muhimu kwa upande wa Ushambuliaji ikiwezekana ata kiungo: lkn pia na Kocha inabidi abadilishe mfumo wa uchezaji vinginevyo hawa BYC watapata kiburi.
yah! naona Abdi Kassimu Babi anajiandaa kuingia; hopeful kiungo nacho kitakaa vizuri sasa.kweli kabisa mkuu na hapa umony out mcha hamis in ilikuongeza mashambulizi..
hakika huyu dogo jinsi anaonekana anajua wajibu wake-na ndo maana akipatikana mtu kama Babi pale wanaweza kumpoteza huyu dogo,kuna dogo kakabiziwa sure boy hatari tupu..
yaani hata kutembea hawezi huyu dogo ni namba 3 mgongoni..
kipindi cha pili
kona
azam 1 byc 0