Dk 45+3 as far 2 - 1 azam
Exactly, nimemshangaa sana huyu beki, sijui ni nini kimemsibu.Mabeki wa Azam wanafanya uzembe, hilo goli la pili ni uzembe wao.
binafsi sikubaliani na hili goli la pili la Rabat, was clear offside
Mkuu leo inabidi tukae kitanzania zaidi, Azam akishinda hataathiri chochote kwenye ubingwa wenu.Mmeanza visingizio eenh! Chomoeni tu, kwanza si kagoli kamoja tu, kanawauma nini?
soon tu mambo yatakuwa mazuri..
Mkuu leo inabidi tukae kitanzania zaidi, Azam akishinda hataathiri chochote kwenye ubingwa wenu.
Inabidi Azam watumie cross zaidi kama wanataka kupata goli, lakini kama wataendelea kupita katikati na kupiga mpira mirefu itawachosha tu na wanaweza wasipate goli.
Mkuu hebu waite hawa mashabiki wa Ndala pamoja na wale Mnyama waje huku tuishangilie Lambalamba FC, waambie hii sio ligi kuu hatuna cha kupoteza tukiwashangilia Azam sana sana tunaonyesha uzalendo.