The Official Azam FC Thread

Mkuu natumia Mchina handset, ningekupa 'LIKE', umenena vizuri sana. Ninachukia kuona vijembe kwa timu yangu wakati hatuna utani na Azam. Acheni vijembe tuwasapoti vinginevyo RIP Azam FC.
Mkuu kwa wanaopiga vijembe sometimes unawapotezea, mwaka Rage pamoja na Mfaransa wetu wanajua timu yenu ilikuwa vizuri sembuse sisi mashabiki, nakuomba siku moja uje jukwaa la Simba lakini isiwe siku ya Simba na Yanga, iwe ni Yanga na timu nyingine au Simba na timu nyingine uone jinsi mashabiki watakavyokuwa wanaiongelea Yanga.
 
....hii ni siku ya kufa kwa nyani; magoli ya wazi na nafasi za wazi tunapoteza! duh.
 
Azam wako vizuri, wamethubutu, hata wakitolewa wameonesha wanaweza, watasonga mbele mwakani.
 
salum waziri kauza timu kizembe kala na yeye red azam wanazingua sasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…