Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Red card Mwantika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwa wanaopiga vijembe sometimes unawapotezea, mwaka Rage pamoja na Mfaransa wetu wanajua timu yenu ilikuwa vizuri sembuse sisi mashabiki, nakuomba siku moja uje jukwaa la Simba lakini isiwe siku ya Simba na Yanga, iwe ni Yanga na timu nyingine au Simba na timu nyingine uone jinsi mashabiki watakavyokuwa wanaiongelea Yanga.Mkuu natumia Mchina handset, ningekupa 'LIKE', umenena vizuri sana. Ninachukia kuona vijembe kwa timu yangu wakati hatuna utani na Azam. Acheni vijembe tuwasapoti vinginevyo RIP Azam FC.
atudo na yeye red card..
Red card Mwantika.
...hivi Abdul Kassim yuko wapi????